Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wale wenzangu wa kokolo..

Paris SG Win

Man U Win

Atletico Win

Barcelona Win

As Roma Win

Juventus Win

Red bull sarzbu Win

Real Madrid Win

Bayern Munichen Win

Fc kobenhavn Win

Lyon Win

Liverpool Win

Dortmund Win

Benfica Win

Sporting Lisbon Win

Stake:5000

Kokolo special kwa wale waoga wa kutia ngumu....kaz kwako
 
Wale wenzangu wa kokolo..

Paris SG Win

Man U Win

Atletico Win

Barcelona Win

As Roma Win

Juventus Win

Red bull sarzbu Win

Real Madrid Win

Bayern Munichen Win

Fc kobenhavn Win

Lyon Win

Liverpool Win

Dortmund Win

Benfica Win

Sporting Lisbon Win

Stake:500000

Kokolo special kwa wale waoga wa kutia ngumu....kaz kwako

historia yako ya nyuma au ndo wakuliwa kila siku
 
Wale wenzangu wa kokolo..

Paris SG Win

Man U Win

Atletico Win

Barcelona Win

As Roma Win

Juventus Win

Red bull sarzbu Win

Real Madrid Win

Bayern Munichen Win

Fc kobenhavn Win

Lyon Win

Liverpool Win

Dortmund Win

Benfica Win

Sporting Lisbon Win

Stake:500000

Kokolo special kwa wale waoga wa kutia ngumu....kaz kwako

unaweka laki 5 au unakula laki tano? na umeweka shi ngap hadi ule 500
 
Wale wenzangu wa kokolo..

Paris SG Win

Man U Win

Atletico Win

Barcelona Win

As Roma Win

Juventus Win

Red bull sarzbu Win

Real Madrid Win

Bayern Munichen Win

Fc kobenhavn Win

Lyon Win

Liverpool Win

Dortmund Win

Benfica Win

Sporting Lisbon Win

Stake:500000

Kokolo special kwa wale waoga wa kutia ngumu....kaz kwako
hiyo stake yako umeongeza sifuri mbili bila shaka. sidhani kama kuna kampuni inatoka malipo ya kiasi chota hicho kwa jumla ya odds na stake yako
 
hiyo stake yako umeongeza sifuri mbili bila shaka. sidhani kama kuna kampuni inatoka malipo ya kiasi chota hicho kwa jumla ya odds na stake yako
Xorry mkuu ...nataka niweke 5000 sio 500000....nilikua najalibu tu kutengeneza kokolo
 
Kuna wadau wengi sn humu walisema wako kwenye research watatuletea majibu. Napenda kuuliza hizo research hazina ukomo wa muda?? na majibu tutegemee lini??
 
Hahahaha ... cku hizi tunaulizana CV yako ya kubet??? hahahahah ... nmecheka kinoma. Hatareeee sn
mkuu nasubiri kokolo lako nitembelee nyota yako maan kanji alichokifanya siku mbili hzi daaaa hadi nimeshikwa na tumbo la kuhara mqmaee
 
Hiki chama nina miaka yakutosha tu kwenye betting ila nahisi huu mwaka tangu uanze sijauelewa kabisa.. Sijui ndo ugumu wa ligi au ni betting imefika hadi kwa wachezaji
 
Watakua wanandika report [emoji23][emoji23][emoji23]


Hahahah ... ngoja tusubiri report.

My take: Huu mchezo utabaki kuwa ni bahati tu. Labda uzoefu (wa kujua ligi ipi huwa inakuwa na magoli mengi, na ipi huwa haitoi magoli) ndio unasaidia. E.g jana England National League (south) kati ya mechi 11 zilizocheza, 9 zimetoa 2+ ... hii ligi mara nyng haikuangushi kwa 2+ & GG
 
mkuu nasubiri kokolo lako nitembelee nyota yako maan kanji alichokifanya siku mbili hzi daaaa hadi nimeshikwa na tumbo la kuhara mqmaee


Ngoja nitalileta mkuu ... narudi mchezoni mdogo mdogo. Hvi karibuni nimenyooshwa hataree sn.
 
Back
Top Bottom