Smokey D
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 2,632
- 2,115
Wengine mapresha yanapanda na kushuka Teh Teh Teh Teh!!!!muda wa kulia/kucheka umekaribia sasa ahahaha
Wengine mapresha yanapanda na kushuka Teh Teh Teh Teh!!!!muda wa kulia/kucheka umekaribia sasa ahahaha
Unatembea hadi na 'man city loss'?Nimeipenda hii
Natembea nayo
Yes mkuuUnatembea hadi na 'man city loss'?
Hahahahaa...Burton wameniweza, weshachana mikeka yooote na viodds vyao vya 1.14 ya 1-10 X, sina hamu.Hahahaaa dakika ya 14 et GG betting ni ngumu sana basi tu
polee hata mie pia wamechana ila leo mmoja wameniachia.....Hahahahaa...Burton wameniweza, weshachana mikeka yooote na viodds vyao vya 1.14 ya 1-10 X, sina hamu.
Hehehe...endeleeni kuyabinya mie nishapumzishwa mapeeema kabisa.aguero anahitaji zaidi ya maombi
Pole mkuu ngoja na mimi nisubiri kipigo changu..Kwaheri mkeka
Aisee hawa watu nahisi watatuuaPole mkuu ngoja na mimi nisubiri kipigo changu..
Man City 4 hiyo