Smokey D
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 2,632
- 2,115
Usiwaze sana mkuu labda siyo siku yako..Aisee hawa watu nahisi watatuua
Kuna wengine wanamaumivu mpaka wameshindwa kuja JF kutupa matokeo
Usiwaze sana mkuu labda siyo siku yako..Aisee hawa watu nahisi watatuua
Ni kweli mkuu kesho nayo sikuUsiwaze sana mkuu labda siyo siku yako..
Kuna wengine wanamaumivu mpaka wameshindwa kuja JF kutupa matokeo
hongeraa Chief mie namkosii wa hatarii yaani nikiweka mkeka wa wiki unachanika cku ya kwanzaa tuu ilee🙂🙂Hapa nlichanganya mpk ijumaa za leo fresh ! Chagua zilizobakiView attachment 382891
Me cjawahi ndo nmejarbuhongeraa Chief mie namkosii wa hatarii yaani nikiweka mkeka wa wiki unachanika cku ya kwanzaa tuu ilee🙂🙂
Bet Won.....R.Madrid Win.
Man city Win
Copenhagen Win....
stake:5000
Kuna game moja wamekosea ile ya brentfordBankocep gemu zote wamepatia daaah sijui kuna uchawi au nao wanabeti hawa jamaa
View attachment 382895hiz za usiku meridian
total odd 2.35,
double or lose ur money [1/2]🙁🙁
Double ya chance ya any team win AU a team win or lose? Kama ni any team win umeliwa.Kalmar vs Malmo wametoka droo na nilimpa malmo double chance jamaa wameandika bet lost wakati mkeka nimekula
Arsenal win.Chelsea Win...hhhhahahahhahha.....Hata GG inatoosha saana.