Chris41
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 625
- 409
watu na nyota zenu... hongera mkuu me ucngz umekata hapa nasaka odds 10 za kesho
Hatarii ndugu ndani ya cku 6 nmepga 800 kwa 3400 ! Odds 10 co nyingi kesho kuna mechi nyingiwatu na nyota zenu... hongera mkuu me ucngz umekata hapa nasaka odds 10 za kesho
2ki2pia hamfati me huu nli2pia leo nmeuliza kimyaaHatarii ndugu ndani ya cku 6 nmepga 800 kwa 3400 ! Odds 10 co nyingi kesho kuna mechi nyingi
Mkuu chagua hapo2ki2pia hamfati me huu nli2pia leo nmeuliza kimyaa
Utapata odds 10 za keshoMkuu chagua hapo View attachment 384420
Wadau msaidieniwadau nataka ku screen shot mkeka meridian bt nashinwa naombeni njia ya kufanya
Mr. Baada ya kuplace bet il u screenshotwadau nataka ku screen shot mkeka meridian bt nashinwa naombeni njia ya kufanya
thnx nimeelewa ilikuwa kwa kutumia pc sio simuMr. Baada ya kuplace bet il u screenshot
Ina bid u hold power button na low volume button at the same time ndio una pata screenshot ama kinacho kushinda apo ni kipi tukusaidie?
timu zot hizo zimetoka drwa dakika ya 10 cha ajabu wameniwekea kama ime lose
nisha fanikisha mkuu,nilikuwa nataka niweke mkeka wangu hapa ambao umetiki lakini meridian wameonyesha ni lose hapa sijui huwa inakuwaje?? sijui ukiwapigia wanarudisha pesa au ndio imetoka maana mtaji wangu wote upo hapokama ni windows..
bonyeza windows button then search snipping tool.. utaitumia hyo app kusnip kila kitu unachotaka..
Ila yawezekana wengine tumekuja kusindikiza tu wenzetu kwenye bettingUckatee tamaa mkuu utapga 2
Mbili zimetoa mbili zimegoma..... Southampton bure kabisa hata kona moja mechi nzima yanapiga pasi za nyuma tu....Daaah usijali mungu atabariki na kuwepa wepesi, mie nadai goli tu kipindi cha pili
Mie pia dundee walizingua, mtaji ukakata leo ni msoma comment tu za watuMbili zimetoa mbili zimegoma..... Southampton bure kabisa hata kona moja mechi nzima yanapiga pasi za nyuma tu....
Tumia snipping mkuu.. simplethnx nimeelewa ilikuwa kwa kutumia pc sio simu