Vwasu
Member
- Jul 14, 2016
- 28
- 34
Nimedownload hiyo Monday bet Jana nimebashiri game ya Juventus na Sevilla kushinda zote zimeshinda sasa napataje mpungaaise ndo nafungua simu saa hivi nakutana na habari njema aksante Mola🙂😉
Nimedownload hiyo Monday bet Jana nimebashiri game ya Juventus na Sevilla kushinda zote zimeshinda sasa napataje mpungaaise ndo nafungua simu saa hivi nakutana na habari njema aksante Mola🙂😉
Mhindi bana ..juzi nimeangalia mechi zote za ligi kubwa zenye chaguo la kona ... Ni mechi mbili tu yaan city na Lyon ndio zilivuka konda 12.... Nkaona ngoja niwape leo ligi kuwa mechi chache konda under 12.5.... Timu 16 NNE zimegoma tena ZIMEGOMEA KICHWANI NGWEEEEE
Dallas kona 13
Sporting Kansas 13
Angers 13
Toronto 13...
Mkuu ijapokuwa huu ni mchezo wa kubahatisha, ningekuwa wewe ningewachomoa genk, bologna, milan, anderletcht na marseille halafu nikatupia dau kubwa.Madrid
Atletico
Genk
Gent
Marseille
Anderletcht
PSG
Bologna
Milan
Napoli
Odd 156
All win.
Mkuu asante kwa ushauri. Bahati mbaya nimeshautupia. Labda tu nistawishe nguvu kwenye kuyabinya game zikianza....lol!Mkuu ijapokuwa huu ni mchezo wa kubahatisha, ningekuwa wewe ningewachomoa genk, bologna, milan, anderletcht na marseille halafu nikatupia dau kubwa.
Unahangaika nini wakati Astana leo yuko uwanjani na ana kitu kama 1.34 then mpe Zidane X2 iko kwenye 1.38 then Atletico W nenda France mpe X2 Marseille... jioni bia saaafi kabisa.Poleni na majukumu ya mawindo ya kila siku. Kama nilivyowaaga nilikuwa safari tangu jumatano lkn leo nimerejea mjini.
Nina elfu 75 nahitaji kuidable kwa namna yoyote ile, naombeeni odd 2.3 tu plz
mkuu mi naona mkeka bet ndo wako vizuri .....hawana ubabaishajiView attachment 385201
Hili limeshakuwa janga kbs ... ubabaishaji wa namna hii sijui utaisha lini. Mbona betting sites za nje ziko poa 24/7?? Huu ni uhuni kbs
Unahangaika nini wakati Astana leo yuko uwanjani na ana kitu kama 1.34 then mpe Zidane X2 iko kwenye 1.38 then Atletico W nenda France mpe X2 Marseille... jioni bia saaafi kabisa.
Za nje!!???View attachment 385201
Hili limeshakuwa janga kbs ... ubabaishaji wa namna hii sijui utaisha lini. Mbona betting sites za nje ziko poa 24/7?? Huu ni uhuni kbs
Tumieni Android application aisumbui. MeridianView attachment 385201
Hili limeshakuwa janga kbs ... ubabaishaji wa namna hii sijui utaisha lini. Mbona betting sites za nje ziko poa 24/7?? Huu ni uhuni kbs
Hii ilinikuta jana meridian. Leo mapema kabisa nimeshatupia.View attachment 385201
Hili limeshakuwa janga kbs ... ubabaishaji wa namna hii sijui utaisha lini. Mbona betting sites za nje ziko poa 24/7?? Huu ni uhuni kbs
Jana mchana ilikuwa inasumbua mkuu.Tumieni Android application aisumbui. Meridian