Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi niliweka Pesa nimefatilia had nmegive up! Nmeamua kubak na Mkeka bet maana kwenye Pesa awazengui na hata likitokea tatizo ukiwajulisha tu wao wenyewe wanaanza kukupugia sim .
Nimewapenda sana mkeka bet....pongezi kwao
 
Jah! Bless
Screenshot_2016-08-21-15-25-13.png
 
Wakuu mzigo wangu ndo huu
Mnauonaje kabla sijalipia..???

Westham
Real madrid
Psg
Milan
Atletco
Benfica

All team win

Odds 11.02

Cc mtoto wa nzi, tpaul
MILAN SI MUAMINI KAMA WANAWAKE WA KIMBOKA BY NIGHT... KWANZA NI MILAN IPI INTER AU AC!!
 
Back
Top Bottom