Safi Sana Sana Sana, jah bless SamanthaJamani muone SAMATTA anachofanya leo within a minute 2 goals
Kitendo cha mechi ya Westham kukosekana goli moja first half kimeninyima pesa
wacha tuwakimbie maana option zipo karibia sawaMi niliweka Pesa nimefatilia had nmegive up! Nmeamua kubak na Mkeka bet maana kwenye Pesa awazengui na hata likitokea tatizo ukiwajulisha tu wao wenyewe wanaanza kukupugia sim .
Bet lostZorya luhansk Win
Atletico Win
Real Madrid Win
PSG Win
Benfica Win
Shakter Donetsk Win
Bayer Leverkusen Win
stake:2000
Dah benfica ni KuMARBet lost
Benfica dah umekula mtaji wng [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Mkuu mpaka ninavyoandika hivi sasa nimeshindwa kulala yaani katika timu 8 kwa mchezo wa double chance Atltetico nilimpa win or Lose yeye kafunga penat dakika ya 91 kachomolewa dakika ya 91 sio bure kuna ndumba hapaHuyu naye kaniaribia Na Mimi yeye Na liver Na Ajax alafu kila MTU kachana mkeka wake
Mkuu mimi nalia na Atletico Madrid .Bet lost
Benfica dah umekula mtaji wng [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Pole sana mkuu Mimi sasa nimefanya bet ni mchezo Wa bahati tu maana Jana liver leo. Altetico ila ipo sikuMkuu mpaka ninavyoandika hivi sasa nimeshindwa kulala yaani katika timu 8 kwa mchezo wa double chance Atltetico nilimpa win or Lose yeye kafunga penat dakika ya 91 kachomolewa dakika ya 91 sio bure kuna ndumba hapa
Hahaahaaaaaa ...... Pole mdau.....Wakuu mbona mnaficha mikeka kabla ya mechi afu baada ya mechi ndo mnaleta huku mngekuwa mnaleta ili na wadau wawe wanatoa maoni yao kuhusu mechi tulizochagua[emoji17]