Dah mimi ningejua bora hata ningempa Win or Draw ila ndo basi tena nimvizie malaga leo.goli la atletico halikuwa halali.. hii huwa inatokea mara nyingi na adhabu yake ni game hyohyo wala haisubiri..
Mkuu bora yako wewe mimi kila siku nabe t mikeka 2 hadi mi 5 lakini katika kila tiket napoteza mechi 2 au 1 tu just why!Pole sana mkuu Mimi sasa nimefanya bet ni mchezo Wa bahati tu maana Jana liver leo. Altetico ila ipo siku
Punguza team mkuu ndio kinatocost tunataka odds nyingi mie pia hivyo hivyo,...at least 3 teamMkuu bora yako wewe mimi kila siku nabe t mikeka 2 hadi mi 5 lakini katika kila tiket napoteza mechi 2 au 1 tu just why!
[emoji27] [emoji27]Dah benfica ni KuMAR
Mkuu cha kushangaza jumamosi nilicheza double chance mechi 2 tu nikakosa ya liver nikapata ya chelsea, dah nimeamini wakati wewe unaomba draw mwenzako anataka win.Punguza team mkuu ndio kinatocost tunataka odds nyingi mie pia hivyo hivyo,...at least 3 team
BET WON
jah ame bless
Zaidi au Chini ya magoli 3 jumlaNaombeni ufafanuzi kuhusu mchezo wa Over au Under 2.5 maana yake ni nini?
Naona meridian wameiprove tena au cjui ndo cku moja moja jana nmetoa ela kwny acc and within 1hour mzigo ukaingia kwenye simu
ligi inatulia baada ya mzunguko wa tano bado tupo zone ya kanji,Pole sana mkuu Mimi sasa nimefanya bet ni mchezo Wa bahati tu maana Jana liver leo. Altetico ila ipo siku
Mkuu una maanisha OVER ni goli 3 na kuendelea na UNDER ni goli 0 hadi 3?Zaidi au Chini ya magoli 3 jumla
Under ni goli 2 tu kushuka chini na over ni goli 3 na kuendeleaNaombeni ufafanuzi kuhusu mchezo wa Over au Under 2.5 maana yake ni nini?
Over maana yake 3 na kuendelea ila under maana yake 0,1 na 2Mkuu una maanisha OVER ni goli 3 na kuendelea na UNDER ni goli 0 hadi 3?