Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,955
- 2,489
Mbona unaona option final score au uliweka option gani?Hiyo ni pesa tayari
Mbona unaona option final score au uliweka option gani?Hiyo ni pesa tayari
[emoji106] [emoji106]Mbona unaona option final score au uliweka option gani?
Same here. Najuuta ku update jamii forums app.Mwanzo nlikuwa naweza but nilipo update simu tu kila kitu kikawa hovyo sijui sababu gani cz hata meridian mkeka ukiliwa haioneshi rangi nyekundu ni nyeusi tu bac
Sijui tatizo ni nini aisee, ngoja nijaribu kuifuta jf na app ya meridian ni install upya nione kama itakubaliSame here. Najuuta ku update jamii forums app.
Mwanzo nlikuwa naweza but nilipo update simu tu kila kitu kikawa hovyo sijui sababu gani cz hata meridian mkeka ukiliwa haioneshi rangi nyekundu ni nyeusi tu bac
Hawajaweka extension ya screen shot nadhani ndio inachoniambia.Sijui tatizo ni nini aisee, ngoja nijaribu kuifuta jf na app ya meridian ni install upya nione kama itakubali
Daaah inatakiwa tuwe tunaandika tu humu mikekaHawajaweka extension ya screen shot nadhani ndio inachoniambia.
Nlizani ni kwangu tu kumbe tatizo la wengiKweli mkuu,naona wameamua kutuchanganya
Download tapatalk halaf ifollow jamiiforumDuuuh bado matatizo yale yale tu
Ngoja nifanye hivo mkuuDownload tapatalk halaf ifollow jamiiforum
Tanx mkuu mambo yapo poa nwDownload tapatalk halaf ifollow jamiiforum
Pa1 snTanx mkuu mambo yapo poa nw