Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Hata angemuweka mmoja tu atletico angepigwa.....Punguza team mkuu ndio kinatocost tunataka odds nyingi mie pia hivyo hivyo,...at least 3 team
Hata angemuweka mmoja tu atletico angepigwa.....Punguza team mkuu ndio kinatocost tunataka odds nyingi mie pia hivyo hivyo,...at least 3 team
Hakuna shida sasa nimekuelewa.Over maana yake 3 na kuendelea ila under maana yake 0,1 na 2
Mgumu kuelewa, Mwepesi kusahau.....Mkuu una maanisha OVER ni goli 3 na kuendelea na UNDER ni goli 0 hadi 3?
Hata uweke moja...unabaki mchezo bahati...nadhani unaona kilichotokea kwa Atletico&BenficaMinilichoona kwa hii miez mi2 naanza kutupia tim mojamoja maana inauma sana kuona timu 5 au 8 umepatia alafu moja inakuangusha kwa huu mwanzo wa ligi nikukubali kula elandogondogo kwa kuweka Tim 1 had lig zikae sawa.
Hahahaha mkuu usinione nacheka ila alichonifanyia atletico sitasahauMgumu kuelewa, Mwepesi kusahau.....
Umeambiwa
over ni kuanzia goli 3 na kuendelea
Under ni goli zisifike tatu na akakuandikia under ni 0,1,2.... Vichwa vimeshasizi kwa vipigo tuoneane huruma haya maswali
Mkuu mi naona afadhali Double chance ingawa odds zake huwa ni chache ila ukiweka mpunga wa maana unaweza kuchomoka.Mie naona ili kuwa safe zaidi huu mwanzo wa ligi ni kucheza magoli tu au goal in both halves ligi ikichanganya ndio mambo ya win yanakuwepo
Acha tu ...... Kichwa inatakiwa kuwa formated upya .... Hiii window nafikiri itakuwa window 98 .... Inabidi niweke walau window 8 au 10.... Kichwa kizito sana....Hahahaha mkuu usinione nacheka ila alichonifanyia atletico sitasahau
Hebu leo nisaidie kuukagua huu mkeka nijaribu kupoza maumivu mkuu
Aina ya Mchezo ni under or over 1st half
1. CELTA =UNDER
2.VALENCIA=UNDER
3.SC PADERBORN =UNDER
4.DINAMO MOSCOW=UNDER
5.MACCABI =UNDER
6.SC BRAGA =UNDER
Msaada wenu wadau!
Weka zote +25507****Jamani nikiandika Namba ya simu kwenye kujisajili premier betting inasema error SA sijui nakosea wap nimeanza 0716****** nikianza na 716****** inasema digits haxitoshi.
Msaada anaejua cha kufanya au Namba za premier anisaidie nataka kudeposit mana mkekabet wamezingua kwa tigo
Mkuu nimekuomba unisaidie huo mkeka je unauonaje?Acha tu ...... Kichwa inatakiwa kuwa formated upya .... Hiii window nafikiri itakuwa window 98 .... Inabidi niweke walau window 8 au 10.... Kichwa kizito sana....
Hahahaha mkuu usinione nacheka ila alichonifanyia atletico sitasahau
Hebu leo nisaidie kuukagua huu mkeka nijaribu kupoza maumivu mkuu
Aina ya Mchezo ni under or over 1st half
1. CELTA =UNDER
2.VALENCIA=UNDER
3.SC PADERBORN =UNDER
4.DINAMO MOSCOW=UNDER
5.MACCABI =UNDER
6.SC BRAGA =UNDER
Msaada wenu wadau!
That's a good news !!!
BIG UP Chief ... odds 39 nzr kinoma noma. Ungenyunyiza 10K hapo ingekuwa mwake sn.
ila nahisi inategemea na cku, co daily wapo fasta hvyo.. ila maximum naona 8 hours
thnx...mkuu hpo nlikua nmeshapigwa zakutosha, na salio liliokua linasoma ndo ilo 2k...
Premier wana option ya WIN EITHER HALF eg,VALENCIA vs LEGANES,Valencia to win either half,na wana odds si haba.Uelewa wangu juu ya option hiyo ni kuwa VALENCIA ashinde kipindi chochote kile hata kama kipindi kingine atadraw au kufungwa.
Swali,kwenu,nipo sahihi kwa ufafanuzi huo,na kama nipo sahihi je,mwaonaje option hiyo?
JAH BLESS NA LEO TENA