Hivi vitu vinafanya wengi waliwe bila kutarajia... Mfano hiii weekend kuna jamaa katikisha mkeka wake wa Mega Magoli wa million 9 akijua kashinda kumbe kapewa maelekezo ya uongo na mbetishaji..... Nimemuelekeza kapinga kabisa mpaka tukafunga(dau) nkamwambia twende tukaingize kwenye mashine kama ni win tiketi.... Kwenda ni lost... Nkajipatia 10 kwa ubishi wake....
Tuje kwenye hili la HALF TIME OR FULL TIME NA WIN EITHER HALF.... TOFAUTI KUBWA IPO KWENYE VIPINDI ..
TOFAUTI IPOJE!!??
KWENYE HALFTIME OR FULL TIME WANAANGALIA MATOKEO YA VIPINDI VYOTE VIWILI KAMA ULICHAGUA I1*1 na ikatokea kipindi cha kwanza kimeisha kafungwa ili BET IWE WIN kipindi cha pili anatakiwa arudishe na mechi iishe ameshinda ndio maana ya I1*1 yaani ashinde kipindi cha kwanza AU mechi iishe ameshinda TOFAUTI NA WIN EITHER HALF hata kama kipindi cha kwanza amefungwa matokeo ya kipindi cha kwanza HAYAJUMLISHWI NA CHA PILI HAPA KILA KIPINDI KINAJITEGEMEA......