darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,358
- 18,441
google -premier betting tz au fuata hii link:Sorry premier online naipataje?
Best football betting portal
google -premier betting tz au fuata hii link:Sorry premier online naipataje?
Sijakosea na SMS imesema kabisa nimelipa 50000 kwenda premiar betingAtakuwa amekosea reference number
Asante Mkuugoogle -premier betting tz au fuata hii link:
Best football betting portal
Mi nahisi Villarreal double chance
Kaaa mbali wew usiharibu mood za watu....anzisha uzi wako na uandika huo ujinga na wajinga wenzako watakujaNaombeni mniunge kwenye group la WhatsApp linalo jiusisha na masuala ya m- bett
Na ulaaniwe kwa Tp Mazembe uliwe ,,, shabiki wa matopeniTP Mazembe - I1
Shanghai SIPG - GG
Al Ain - 1
mkuu ukibet kwa kufuata mapenzi ya timu yako inakula kwako....😀😀Na ulaaniwe kwa Tp Mazembe uliwe ,,, shabiki wa matopeni
Kweli mkuu. Marekebisho aisee. Maana alshabab hawakawii kwenda alafu wanitimbia mm jukwaani. Itakua noma kweli, unaenda kubet jela. Ila tigo pesa ni wezi jamani. Haya mambo yetu ya kubet ni bora tutumie m pesa na airtel money tu.Mkuu easy easy easy ... check maneno ya kuandika aisee, yasije yakaja kuku-cost
"...natamani hata nikalipue jengo lao makao makuu" ... mmmh.
Hii n kazi mapenzi pembeniNa ulaaniwe kwa Tp Mazembe uliwe ,,, shabiki wa matopeni
Na ulaaniwe kwa Tp Mazembe uliwe ,,, shabiki wa matopeni
Mi ni Yanga damu lakini leo nilichowabetia wakijua wataninyang'anya kadi ya uanachama.We umetokea wapi aseee ... humu hatuombeani mtu aliwe. Humu ni "well wishers" tu ... na kila mtu kwa nafasi yake ana timu ambayo anaipenda/anaishabikia na wakati mwingine watu wanaiua na yeye akiwemo.
Tunatafuta pesa acha ushabiki maandazi. Unalipwa sh ngapi na Yanga??? au kazi kutoka povu na kumpigia magoti Manji ????
Kijana acha pechepeche. Jukwaani humu tunamuua juve ambaye ni Chama la kumoyo since 1994 ndio sembuse Hao vilaza yanga. Hapa tunatafuta hela kijana.Na ulaaniwe kwa Tp Mazembe uliwe ,,, shabiki wa matopeni
Atakuwa amekosea reference number
Kijana acha pechepeche. Jukwaani humu tunamuua juve ambaye ni Chama la kumoyo since 1994 ndio sembuse Hao ****** yanga. Hapa tunatafuta hela kijana.