Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

View attachment 386252malipo hayo nimekosea nini? Tigo wezi sana hii Mara ya pili Mara ya kwanza 30elfu sijapata had leo
Reference namba ulio tumia ww ni sahihi?? Yaani ile walio kupa baada ya ww kufanya deposit kweny account yako ina kupasa ujue kitendo cha kukosea iyo ref no kuna uwezekano iyo pesa imeenda kweny account ya mtu mwngne na uku kwako sms ya tigo ina onesha umefanya malipo kwa premier.
Kwa mfano wamekwambia
ref no ni 51753 ww kweny malipo ukawa ume andika 51573 ayo malipo yata fanyika lakin pesa ina kua ime ingia kwa mtu mwngne..
Na uhakika wa ilo kwa kua nilishawahi kosea ref no pesa yang haiku ingia kwa account japo sms ilionesha malipo yame fanyika kikamilifu..
 
Na ulaaniwe kwa Tp Mazembe uliwe ,,, shabiki wa matopeni

Nimekuja kukuletea matokeo tu mkuu ...

upload_2016-8-23_16-23-25.png

Wengi tunapenda Yanga ishinde, lakini hatuwezi ku-undermine uwezo wa TP Mazembe, club ambayo imeshacheza michuano ya club ya dunia. Na ukizingatia tunaweka pesa kuucheza huu mchezo ... sio mali kauli ka vijiwe vya kahawa.

Nimekuja kukuletea matokeo tu mkuu ...

View attachment 386351

Bet won kaKa. Ili uwe mtaalam wa kubeti lazma uiue timu yako ukihisi uwezo wao mdogo.
 
haha unanikumbusha nmb walivonifanyia.. ngozi nyeusi hii ina maana ndio maana ikawa nyeusi.. ilitakiwe tuwe matumbili tu mitini tunagombea ndizi na matunda mengine.. ubinadam hatuwezi kabisa..
hahahaha! umenikumbusha mabali sana mkuu. NMB ni majizi wa kutupwa!
 
Nimekuja kukuletea matokeo tu mkuu ...

View attachment 386351

Wengi tunapenda Yanga ishinde, lakini hatuwezi ku-undermine uwezo wa TP Mazembe, club ambayo imeshacheza michuano ya club ya dunia. Na ukizingatia tunaweka pesa kuucheza huu mchezo ... sio mali kauli ka vijiwe vya kahawa.
umeongea vzr mkuu na nadhani ujumbe umewafikia watu sahihi kwa wakati sahihi.
 
Exeter GG
Scunthorpe GG
Millwall GG
Luton GG
Odds 9
× × × × × ×》× × ×《
Roma GG
Monaco GG
Odds 3...
 
Back
Top Bottom