UmekulaMsaada jamani team niliyo kuwa naisubiri monaco imeshida dakika 1 ya niongeza vip hapo nimekula au nishapoteza
OK kwaiyo ile bet Sio lazima ndani ya dk 90Umekula
Dakika za nyongeza Ni sehemu ya zile 90 kufidia muda uliopotea kutokana na majeruhi au anything elseOK kwaiyo ile bet Sio lazima ndani ya dk 90
Duuuuh nimepona Kwenye tundu la sindano mkuu nimempasua mzungu najaribu kuatach mkeka na feliDakika za nyongeza Ni sehemu ya zile 90 kufidia muda uliopotea kutokana na majeruhi au anything else
Hongera MkuuDuuuuh nimepona Kwenye tundu la sindano mkuu nimempasua mzungu najaribu kuatach mkeka na feli
Thanks mkuu
Hongera Mkuu
Ata buku unawekawakuu meridian kima cha chini kudeposit ni sh ngapi?
Duu ila uo upepo hatari goli LA monaco[emoji2] [emoji2]
Hatari tupu yani hata sielewi yan mkuuDuu ila uo upepo hatari goli LA monaco[emoji2] [emoji2]
HahahaaaNami naanza kununua mechi naanza na leo, roma na chelsea loose
Chelsea aliponea chupu chupu, leo kuna game moja ntainunua bado nina bageni na wenye timu niwape sh ngapi wauze mechi. Keep wairing ntawaambia game gani msibetNami naanza kununua mechi naanza na leo, roma na chelsea loose
Alikuahidi .... Au ulimuomba kwa kushtukizaWatford kaninyima hela
Hahaahaa alimpa ushindi wa kushtukiza afu watford akawa hana taarifaAlikuahidi .... Au ulimuomba kwa kushtukiza