Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1472044977513.jpg
 
Jamani mm kila nikitoa pesa meridian inarudi tena kwenye account tatizo ni nini????? Msaaada wadau!! Natumia vodacom m pesa
 
Mh!
Rutyunnmenu bhilagoye cvfhanre mgubdu mhindi **** khcgonfi de flora **** zebty



Pole mkuu ... sometimes unacheza single na ndo anakuwa mchawi huyo huyo. Daaaamn !

Mimi ukiniambia nikuchagulie mechi moja tu, lazima niangukie pua. Walau 3/4
 
Ajax nimenunua mechi wakuu....kuweni makini na kumpa ushindi wa moja kwa moja
 
Back
Top Bottom