Sturmius
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 316
- 333
Zimetoboaaaaaaaaaaaaa Duuuuuuuuuu!!!!!!Hapa niaje View attachment 386575
Zimetoboaaaaaaaaaaaaa Duuuuuuuuuu!!!!!!Hapa niaje View attachment 386575
legia sijui ndio ile ishu ya kununuliwa?kweli chama langu lina fatigue, kwa mechi za leo zilivyo dume hamna jinsi namuua yanga, nikimpa Preston na legia win, v.plezen GG inatosha kwa leo.
Mkuu hiyo Ni kampuni gani ya betting??LEO NATOKA HIVI WADAU
#HAINAGA _WOGA Tunakulagaaaa
JAB BLESS
Mkuu hiyo Ni kampuni gani ya betting??
Huyo ndio buddy. Team kokolo per sempre. Hapo bado bilu97 ajaleta 300000 odds mlima. Hatari sana.
Huyo ndio buddy. Team kokolo per sempre. Hapo bado bilu97 ajaleta 300000 odds mlima. Hatari sana.
Buddy tulia mkuuHahaha ... Chief mimi nikichagua team 2 nachukua na mchawi pia ... mbaya zaidi nakuwa na kitete, mwisho wa siku naangukia pua. Nimeshajaribu km mara 3 hivi kwa stake 100K. Nimeshazoea team 5 na kuendelea. Stake 2K - 50K
BET LOSTFC Luch-Energiya Vladivostok
Over 0.5 Goals
Knockout stage - FC Seoul - Shandong Luneng Taishan FC
Over 1.5 Goals
Canberra Olympic - Redlands United
Over 2.5 Goals
Brisbane Strikers - Melbourne City FC
Over 2.5 Goals
Blacktown City FC - Bonnyrigg W. E.
Over 2.5 Goals
Hume City - Melbourne Victory
Over 2.5 Goals
Baada ya Kanjibah jana kusepa na mtaji wangu leo nakuja kwa style hii kutafuta mtaji....
Jah Bless!!!
🙂🙂🙂
Buddy tulia mkuu
Mimi kwa kweli siamini katika haya mambo...hii game nimeiangalia live...hawa watu walipiga mpira mwingi mno...they were fighting for results plus the home advantage.fuatilia game ya celtics.. kwel hapoel mweny world rank ya 185 anamfunga celtics mweny world rank ya 56? na wadau wengi wa betting wamekuwa wakisema na hii game imenunuliwa..