Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Wakuu,habari za jioni? Leo nimerudi tena baada ya kanji kula mtaji wote.
michawi bado inaendelea kutikisa....mamamaee Valencia. ndio maana kumbe huu mchezo hauhitaji HASIRA!
View attachment 386383
uko sahihi mkuu kuna timu zinadhaminiwa na makampuni ya kubet...jamaa wana pesa sana wanapanga sana ushindinasikia bookmakers wananunua games.. na kwa uhakika kabisa duniani kote imeonekana juzi hapa kwenye game ya burnley 2-0 liverpool pamoja na game zingine zingine.. hii kwenye betting imekuwa hatari sana siku hizi.. je mnalichukuliaje hilo wazee wenzangu..
kuna evidence nyingi sana kuhusu hawa bookmakers kununua game ambazo bettors wengi wanabet kwenye open games lakini matokeo yanapinduliwa..
Nami naanza kununua mechi naanza na leo, roma na chelsea loose
Roma tayari nimemnunua kwa dau dogo sana leohahahaha ...
Game zote?Naomba lisiongezeke goli lolote lile EFL
Game zote?