Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilikua nachambua kokolo la ijumaa jamani.
Wale wenzangu wa kujilipua ijumaa 26/08/2016 kuna mechi hizo nyeupe tu.
1. PK 35 Vantaa v Ps Kemi Y
2.FC Kryliya Sovetov Samara v FC Ufa under 2.5 goals FT
3.WSG Wattens v SV Horn Home win
Ngoja nilale sasa, Ijumaa nitamwaga kokolo humu kama Bilu97 a.k.a kokolo boy
 
anasema tigo walishampa majibu ya confirmation msg ya muamala.. kwa maana hyo aangalie kama alitumia njia sahihi kuweka pesa premier

Ok kamanda. Sema tigo ni wezi kamanda. yani hadi leo nasumbuana nao 300k yangu. alafu kinachoniuma wanakubali kweli hela haikuenda premier bet a.k.a muamala haukukamilika. Nasubiri siku ikirudi hiyo hela naitoa alafu line yao naichoma moto.
 
haha unanikumbusha nmb walivonifanyia.. ngozi nyeusi hii ina maana ndio maana ikawa nyeusi.. ilitakiwe tuwe matumbili tu mitini tunagombea ndizi na matunda mengine.. ubinadam hatuwezi kabisa..

ww unamlipa mfanyakazi 200k@ month kwenye kampuni alafu anaona kila siku buddy anaweka 300k kwaajili ya kubet kwa nn asiipinge panga juu kwa juu akijua kesho ataweka tena. Kumbe hela zenyewe tumeuza magunia ya maharagee. Tigo jamani acheni utapeli wa kukaa na mitaji wa watu jamani. tehh tehhh
 
Nikweli Tigo wezi sanaView attachment 385514View attachment 385514View attachment 385514View attachment 385514
hawanaga namba.. tumia contact us (ipo juu kabisa ya premier website au chini kabisa) kuwasiliana nao kwa email..

je ulitumia reference number gani kuwekea pesa?

Ok kamanda. Sema tigo ni wezi kamanda. yani hadi leo nasumbuana nao 300k yangu. alafu kinachoniuma wanakubali kweli hela haikuenda premier bet a.k.a muamala haukukamilika. Nasubiri siku ikirudi hiyo hela naitoa alafu line yao naichoma moto.
 
usihangaike na premier kaka. piga tigo huduma kwa wateja 100 waambie hilo tatizo. Jitahidi kuwasumbua hela yako itarudi tu. Tigo ni wezi sana tofauti na M pesa na Airtel. Voda wao ukiwapigia ndani ya siku mbili unapewa hela yako. tigo ni wangese sana, MM mwenyewe najuta kutumia tigo maishani mwangu. yan nikiwafikiria tigo walivyo wababaishaji natamani hata nikalipue jengo lao makao makuu. Wezi sana tigo, kuanzia kampuni hadi wafanyakazi wake. grrrrrrrr.



Mkuu easy easy easy ... check maneno ya kuandika aisee, yasije yakaja kuku-cost
"...natamani hata nikalipue jengo lao makao makuu" ... mmmh.
 
Nilikua nachambua kokolo la ijumaa jamani.
Wale wenzangu wa kujilipua ijumaa 26/08/2016 kuna mechi hizo nyeupe tu.
1. PK 35 Vantaa v Ps Kemi Y
2.FC Kryliya Sovetov Samara v FC Ufa under 2.5 goals FT
3.WSG Wattens v SV Horn Home win
Ngoja nilale sasa, Ijumaa nitamwaga kokolo humu kama Bilu97 a.k.a kokolo boy


Chief, huyu Ufa kupigwa 2, 3 ni nje nje aisee ... mimi game zake nampaga 2+ mara nyingi na anatoa sn tu. Yule Ura ndo mbishi.
 
Mkuu easy easy easy ... check maneno ya kuandika aisee, yasije yakaja kuku-cost
"...natamani hata nikalipue jengo lao makao makuu" ... mmmh.
Jamaa wanakera katika mitandao ya simu Tigo ni wezi na wanafuga wezi.hawatoi ushilikiano pale unapoibiwa
 
ww unamlipa mfanyakazi 200k@ month kwenye kampuni alafu anaona kila siku buddy anaweka 300k kwaajili ya kubet kwa nn asiipinge panga juu kwa juu akijua kesho ataweka tena. Kumbe hela zenyewe tumeuza magunia ya maharagee. Tigo jamani acheni utapeli wa kukaa na mitaji wa watu jamani. tehh tehhh


Hahahaha ... bado sijafika hizo level mkuu. Hizo level zenu Bologna (300K!!!) ... mimi sijawahi kutupia zaidi ya 100K. Yani 100K ndo stake yangu max. Na nlishawahi kuicheza mara 3 ... zote nlitafuta Odds chini ya 3 na ckuwahi kupiga hela ... grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Naombeni namba za premiar 50000 yangu haipo kwenye Ac yangu wakati tigo ilisha toka
hata mimi nilishawahi kudeposit nikaletewa meseji ya muhamala lakini kwenye balance premier haikufika.Nikawapigia tigo wakaniambia watashughulikia baada ya masaa 72.mpaka leo kimya
 
hata mimi nilishawahi kudeposit nikaletewa meseji ya muhamala lakini kwenye balance premier haikufika.Nikawapigia tigo wakaniambia watashughulikia baada ya masaa 72.mpaka leo kimya
Sorry premier online naipataje?
 
Back
Top Bottom