Chris41
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 625
- 409
Hii mechi ya Valencia siielewi elewi ... hao La Palmas wanaweza kuharibu sherehe. Bado najifikiria, au ka vpi niachane nayo tu.
ahahaha mkuu unaweza ukaruka mkojo ukakanyaga mavi... betting sometime haiitaji woga, ni imani tu... kama hapo nmejilipua tu, kinachofta ni kusali + kuroga + kubana korodani hadi kieleweke.. hamna namna..... nasubiri tips za wadau humu nidese ata timu 4 badae