Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu
Kuna wale miamba wa kutengeneza matreni jamaan fanyen litreni limoja la SGR lenye Over 0.5 FT Tu.

Hii option huwa imekaa utamu coz probability ya kuchana n kidgo sana l, alafu mtu utie kibunda cha maana
 
🤣🤣🤣🤣 unazuia goal first half under 2.5

Halafu dk ya 14 tu mtu kala 3🤣🤣🤣🤣

Screenshot_20241101-163130.png
 
Wazee game ya simba imefichwa wapi nataka kuibetia live lakini siioni
 
Back
Top Bottom