Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bayern vs Union Berlin
"home team to score 3 goals in a row" umeweka NO
Aiseee una masikhara na Bayern wewe
Sababu ni hii hapa πŸ‘‡ unaweza kuielezea hiyo mechi imekuwaje win...pia unaweza kufanya edit na kufanya positive edit
 

Attachments

  • Screenshot_20241101-104044.jpg
    106.9 KB · Views: 4
Odds 31 hspa bayern nime edit baada ya jamaa kusema kitu😁😁

7B8E685

Odds49 bayern nimeedit na baadhi

A8EEEF
 
Betpawa muoga sana. Bado hajaweka mechi ya Simba hadi muda huu.
Kumbe leo kuna mechi ya simba πŸ™„ sisi tusio jua mpira tunashida sana ningejua nimgemweka kwenye mikeka yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…