Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,570
- 2,076
Inawezekana mkuu.Kote haipo, kuna kitu hakipo sawa.
Nilitaka kuibetia live nimeitafuta meridian sijaionaHii mechi ya Simba, betting companies zimeshtukia nini? Sio kawaida hii!
Kanjibai wote plus wazungu kuna taarifa wamepenyezewa. Kwa taarifa wale wapo mbele zaidi.Nilitaka kuibetia live nimeitafuta meridian sijaiona
WOOOOOOOOON...... AISEEEEE.....TUKUTANE KWA WAKALA. TUMELIPWA NDANI YA ROBO SAA.INPLAY;
Sepahan SC Over 0.5 FT
Mimi nimemuomba huyo mwenzake apate goli la pili odd mlimaHuyu pyramid kama simuelewi hivi
keshapigwa 2-1.Huyu pyramid kama simuelewi hivi
Leo au kesho maana wengine hatu fuatilii mipiraWale wa kumpa ushindi Yanga ana 1.55 mumuwahi huko.
Bado mpo na beti za makaratasi πππππππLeo Vocha ilipatikana hiviππ
KakosaMimi nimemuomba huyo mwenzake apate goli la pili odd mlima
Huaga wana upepo hao wa makaratasi[emoji16]Napenda sana kwenye makaratasi mimi kwenye simu sipendi maana nihatua20 nilipo na duka lilipo.