Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu naombeni mnisaidie jinsi ya kutoa hela kutoka selcom kampuni ni helabet maan nimefanikiwa kuitoa kwenye account msaada please
 
Sasa hivi nimeacha kustake high kuna kaupepo nakapisha kwanza
 
Ahsante sana nimefanikiwa
 
mkuu msaada jinsi ya kutoa pesa kutoka selcom upande wa helabet maana nimeshatoa kweny account
Fungua app ya Helabet, utaona kuna neno limeandikwa MENU lipo Chini upande wa kulia, Ukibonyeza utafunguka ukurasa mwingine, utaona kuna icon ya setting ipo mkono wa kulia juu kwenye kona. Bonyeza hilo neno, utakuja ukurasa wa ambao utaona kuna neno withdraw. Bonyeza hilo neno, itakuja njia mbalimbali za ku withdraw. Chagua njia uliyo Jisajilia wewe
 
Nifundisheni kubet😓
Tupe number ya Ndugu zako au mmeo

Ili ukifa au kizimia tujie pa kukupeleka
Baada ya utani huo 🤣🤣🤣🤣


Tuambie kwanza umri wako na shughuli unayofanya,Ili tukushauri kwanza Ubet au uangalie Maisha Yako kwanza

Ukiingia humu kama teja tu mlaunga,sasa kama hauna resources za kipato aisee utauza kila kitu.

Ni jukwaa Zuri ila Ingia kwa usajili,kuna watu weekends hizi wanaishi kwa mateso makubwa mnooo,yaani kama huna pesa unaweza kuuza chochote unaona utajiri upo nje nje kwenye Mechi za weekends,ikifika Jtatu sura inahamia kuwa ya Marehem Bibi

Karibu ,ukijipanga na kujipangia budget ranges na iwe monitored basi ni sahihi
 
Hela ndo hii sasa, Dude limenyooka. Ukichana ni mipango ya shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…