Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 354
- 372
Wakuu naombeni mnisaidie jinsi ya kutoa hela kutoka selcom kampuni ni helabet maan nimefanikiwa kuitoa kwenye account msaada please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi nimeacha kustake high kuna kaupepo nakapisha kwanzaSportybet
Hii ndio option nayoweka kambi kuanzia leo
CCF841
Weka kuanzia 5000[emoji385][emoji385][emoji385][emoji385][emoji385]
Kuna mikeka hata ikichanika haiumi sana kama ile unampa man city atoe magoli mawili tena single bet na umeweka 200k na mashoga man shit wanashinda kigoli emu tu(1-0)
Jana hii timu imezingua hata tungeipa 1x bado inge chana na hata over 1.5 bado ingechana nasubiri baadae ni rebet matreni yangu 4 yaliyo chanika maana hapa nimebaki na matreni 7 yapo hai
Nikusuka mikeka na shanga za kiunoni tu 😁😁Nifundisheni kubet😓
Mbona zinashushwa mkuuCode za Sportybety leo vipi wadau
SerWakuu naombeni mnisaidie jinsi ya kutoa hela kutoka selcom kampuni ni helabet maan nimefanikiwa kuitoa kwenye account msaada please
Ni mtaji wako tuNifundisheni kubet😓
Ahsante sana nimefanikiwaUkifungua app yako au website ya PARIPESA, kuna menu ipo Chini, utaona Neno betslip, bonyeza neno betslip, Likifunguka neno betslip itakuja menu nyingine ambayo mwishoni kuna neno load betslip, Ukibonyeza litakuja Neno enter betslip code, ingiza Hizo code hapo, na utauona Mkeka.
mkuu msaada jinsi ya kutoa pesa kutoka selcom upande wa helabet maana nimeshatoa kweny accountView attachment 3140440
Accumulator Of The Day ⚽
Booking Code: PBEEA
Haupo PariPesa?
Jisajili Hapa https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Tumia Promo Code TIPS2424 wakati wa kujisajili upate bonus ya asilimia 200.
Unasukaje.. yani ipoje nielekezw😅Nikusuka mikeka na shanga za kiunoni tu 😁😁
Kivipi?Ni mtaji wako tu
Fungua app ya Helabet, utaona kuna neno limeandikwa MENU lipo Chini upande wa kulia, Ukibonyeza utafunguka ukurasa mwingine, utaona kuna icon ya setting ipo mkono wa kulia juu kwenye kona. Bonyeza hilo neno, utakuja ukurasa wa ambao utaona kuna neno withdraw. Bonyeza hilo neno, itakuja njia mbalimbali za ku withdraw. Chagua njia uliyo Jisajilia wewemkuu msaada jinsi ya kutoa pesa kutoka selcom upande wa helabet maana nimeshatoa kweny account
Tupe number ya Ndugu zako au mmeoNifundisheni kubet😓
Acha UOGAAl Ahly vip anatoboa leo au ndo Km ya akina mayele
Hela ndo hii sasa, Dude limenyooka. Ukichana ni mipango ya shetani.Sportybet
Hii ndio option nayoweka kambi kuanzia leo
CCF841
Weka kuanzia 5000[emoji385][emoji385][emoji385][emoji385][emoji385]
Kuna mikeka hata ikichanika haiumi sana kama ile unampa man city atoe magoli mawili tena single bet na umeweka 200k na mashoga man shit wanashinda kigoli emu tu(1-0)