Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 354
- 372
hiyo process nimefanya mkuu na hela nimeitoa kutoka kwenye account ya helabet sas shida ni kuitoa ile hela kwenda kwenye laini maana text imeingia selcomFungua app ya Helabet, utaona kuna neno limeandikwa MENU lipo Chini upande wa kulia, Ukibonyeza utafunguka ukurasa mwingine, utaona kuna icon ya setting ipo mkono wa kulia juu kwenye kona. Bonyeza hilo neno, utakuja ukurasa wa ambao utaona kuna neno withdraw. Bonyeza hilo neno, itakuja njia mbalimbali za ku withdraw. Chagua njia uliyo Jisajilia wewe