The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,938
- 4,964
Nakuonea huruma ,utalia vibaya wewe
Nakuonea huruma ,utalia vibaya wewe
Shusha Codes tupite nazoWanaume mnakazi ya kubeti ovyoo kabisa
Yes ni kweli ila msimu huu Napoli amecheza mechi 5 nyumbani kwake na ameshinda zote kipindi cha pili. Atalanta wakirudi hawatakuwa aggressive kama mwanzo naamini hii mechi inaweza kuisha 1 kwa 2 au 2 kwa 2.Usijidanganye kubetia timu za Italy hasa Napoli na AC Milan kwa kutegemea chochote kitu kutoka kwao
Ovyo kabisa kafanye kaziShusha Codes tupite nazo
Ushapata bwana wawa kukutoa genye.?Wanaume mnakazi ya kubeti ovyoo kabisa
Nilikwambia na genye lini?Ushapata bwana wawa kukutoa genye.?
Kabisa Jombaa.Atalanta haitabiriki. Inafunga sana na kufungwa sana
Yes ni kweli ila msimu huu Napoli amecheza mechi 5 nyumbani kwake na ameshinda zote kipindi cha pili. Atalanta wakirudi hawatakuwa aggressive kama mwanzo naamini hii mechi inaweza kuisha 1 kwa 2 au 2 kwa 2.
Kazi ganiOvyo kabisa kafanye kazi
Zipo nyingi sanaKazi gani
Ko unafikiri kubeti sio kazi sio?Zipo nyingi sana
Mind your business,kwanza huu uzi haukuhusu.Wanaume mnakazi ya kubeti ovyoo kabisa
We unaona kazi iyo?Ko unafikiri kubeti sio kazi sio?
Si ajabu wewe ni kibabu kabisaMind your business,kwanza huu uzi haukuhusu.
Weka akiba ya maneno braza kuna watu humu wanaendesha maisha yao kupitia hii kaziWanaume mnakazi ya kubeti ovyoo kabisa
Wanaume mnakazi ya kubeti ovyoo kabisa
Mtoto wa kiume kutumia id ya kike na kuwazingua wqnaume wenzako inatia shaka sana. Mtoto si rizki, mtoto unaliwa wewe.Si ajabu wewe ni kibabu kabisa
Napoli ameshapuna apo
Hawa jamaa wana kipi cha ziada maana issue ya kuchelewesha malipo inaonekana ni shida na wateja inao, mtupe Siri kuna nini huko zaidi ya kwingine tuje maana pamoja na mapungufu ya mara kwa mara ila watu wapoParipesa bado wanaendelea kushikilia pesa yangu isivyo halali baada ya kuwithdraw ikatoka kwenye akaunti ya paripesa lakini mpaka Leo siku 10 zimepita haijaingia kwenye akaunti yangu ya Airtel wala kurudishwa kwenye akaunti yangu ya paripesa. Nahisi huu utakuwa utapeli.