Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Paripesa bado wanaendelea kushikilia pesa yangu isivyo halali baada ya kuwithdraw ikatoka kwenye akaunti ya paripesa lakini mpaka Leo siku 10 zimepita haijaingia kwenye akaunti yangu ya Airtel wala kurudishwa kwenye akaunti yangu ya paripesa. Nahisi huu utakuwa utapeli.
 
Hawa jamaa wana kipi cha ziada maana issue ya kuchelewesha malipo inaonekana ni shida na wateja inao, mtupe Siri kuna nini huko zaidi ya kwingine tuje maana pamoja na mapungufu ya mara kwa mara ila watu wapo
 
Yes ni kweli ila msimu huu Napoli amecheza mechi 5 nyumbani kwake na ameshinda zote kipindi cha pili. Atalanta wakirudi hawatakuwa aggressive kama mwanzo naamini hii mechi inaweza kuisha 1 kwa 2 au 2 kwa 2.
Ahahaha
 
2671C304-013C-41BA-AD12-281805B1EF0D.jpeg
 
Back
Top Bottom