Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kinachouma sana mkuu ni team moja ndio inaangusha behewa la vichwa 30, daaah sio poa ila huyu jamaa atajaa kwenye mfumo tu
Na hapo ndipo kuna mtengo wenyewe!
Wakati unasuburi 🚂 lenye behewa 30 lifike salama mwisho wa safari, Kanji anasubiri behewa moja tu lipinduke ili safari iishie njiani.
 
Asubuhi nimeamka na hii ya Ligi ya Colombia:

1730701186263.png
 
Inter nimempa handicap ya 2 ashinde, wako na solid diffence still ufungaji wao magoli ni wa kuotea otea sana.

Arsenal tangia Callafiori ajeruhike wanaruhusu sana magoli, na pia bado strikers wao hawako poa hadi Odegaard apone arsenal atakua kachana sana mikeka ya watu.

Weka handicap ya 2 in favour kwa inter, then ongeza game ya bayern au city odds 3 znafika
 
Bayern ni uhakika eee
 
Back
Top Bottom