Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndugu wazee wa mikeka sasa hivi ushindi wa mikeka umekuwa mgumu sana. Juzi Monaco kanichania mkeka wa mamilioni ya hela. Nimetafakari hadi leo kichwa kinaumma. Tunatokajetokaje kwenye mkwamo huu wazee? Leteni mikeka tukopi basi.
 
Huyu Betfuse mganga wake ni hatari sana. 125M mara mbili ndani ya siku mbili!!! Daaah! 😇😇
 
Team za BONGO
Sometimes unaruka nazo tu,ila Kuna siku utalia

Leo Dk 22 tu over 1.5🤣🤣🤣

Mie niliona ODDS ipo over 1.60 basi siulizi
Hii ODDS nilipanda Mchana kutoka 1.60 mpaka 1.72

Screenshot_20241104-192546.png
 
Back
Top Bottom