Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

-vurqmw.jpg

3 ODDS ON PARIPESA ⚽

Booking Code: Y9JPD

Haupo PariPesa?

Jisajili PariPesa 👉 https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000.
 
Wazee wa kuweka mizigo ivi kuna ukweli kwamba kuna baadhi ya makampuni mtu unakua huna bahati nayo hata ubeti mara mia huli na kuna makampuni unakua na kismat nayo ukiweka tu imoo. Wazoefu naomba ufafanuzi
Ukitaka kujua hilo

Tafuta kampuni ambayo ilitoa winning kwa
YOUNG AFRICANS
Manchester City
Arsenal

Ukikuta kuna kampuni imewapa ushindi tustue Wana tunakuja Fastaa

Ila kama hakuna,ujue tayari Ugonjwa wa VIPIGOPHOBIA SYMBIOTIC DISEASE unakunyemelea

Dalili zake:-
-Kuchukia wote unaowapenda
-Kukunja uso kila ukisikia kipindi cha Michezo radioni
-Kukaa options za betting ulizokuwa unazisifia na kuziamini
-Kutokujikubali hata wewe mwenyewe
-Kuongezeka kwa kukasirika kila ukiona mkeka wa mwenzio ume tick
-Kupenda kujitenga na kukaa maeneo ya Barbara kuu huku ukiwaza ipo siku ilo gari linalopita na hilo Ghorofa unaloliona lotakuwa LAKO,wakati hata Soda hunywi

USHAURI:-
SPORTYBET NDIO habari ya mjini
BETPAWA NDIO Rafiki wa Mjini

Muhim ni kukubali lolote lile,maana Betting tunacheza wakati hata MPIRA haijachezwa ni tafsiri kwamba hakuna pesa Rahisi kuipata

Amini ipo siku itatoboa,,muhim utulivu,na Tenga muda wa kufanyakazi na kuamini Kazi Yako NDIO itakutoa kimaisha,then betting iwe ni kiongezo cha Burudani yenye ndoto.Dont spend much of your time kwenye kufikiria Mikeka.
Wengi wenye kutoboa pesa ndefu huwa wanafanya kama mas,hara mara mtu paaaaa kapasua

Ishi Katika kampuni unayoiamini
Kuna Jamaa kitaa hapa kila mtu anajua anaBET,yaani kila kitu kauza.
Na Kuna mshkaji mtaani mkinyaaa,kumbe anaBET kampiga mwaka Jana Kanji 37 Milions,fastaa kanunua Bajaji 2,ana ameanza ujenzi wa Nyumba

Muhim subraa

Kazi iendeleee
 
Nimekupata mkuu na unafaa kua mshauri na saha kwa wazee wa mikeka. Umenijibu kitalaam zaidi.
 
Maafisa ubashiri, poleni na kazi. Leo kuna odds 5 zipo wazi kabisa kama ya mbuzi. Stake yako tu ndio itakubeba.
RB Leipzig x2 and O 1.5
Real madeid Win
Sportig cp vs city O 1.5
Liverpool vs liverkusen O 1.5
BvB win n O 1.5
Hizo ni odds 5+
Stake what u can afford to lose.

Kazi njema..
 
Back
Top Bottom