axel fowly
Senior Member
- Aug 14, 2012
- 137
- 49
Mkuu ulipotea sana pande hizi , karibu tuendelee kumpuna kanjibai3.20
Gg&2.5
Tottenham
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulipotea sana pande hizi , karibu tuendelee kumpuna kanjibai3.20
Gg&2.5
Tottenham
1Aston villa
Ov 2.5
2 00
Chaboòm3.20
Gg&2.5
Tottenham
Noma sana we unemuotea sanaLeo kanji lazima alale na viatu:
View attachment 3142818
View attachment 3142819
View attachment 3142821
Yani hapa ikifika tu dk ya 10 ubao unasoma 0-0 Ngoma✅ au draw ila mara nyng draw apa ni 0-0 ko target ni goli lisifungwe from 0:00-9:59 minutes maàna ni ngumu kupata draw ya kufungana Kwa dk 10 za mwanzo ko target 0-0
we noma. unamla Mhindi kwa option ya correct score.
Var imelifuta inter kashindaDuh! Inter na venezia mechi ndo ya mwisho nimeangalia live score dk 90+ 8 nakuta ubao unasoma 1-1, kwenye mkeka naona tik 1-0 sijui var imefanya yake!!?
At least nimepata hela ya supuView attachment 3142913
Hatari sana 🔥 inter kashida safiiiiDuh! Inter na venezia mechi ndo ya mwisho nimeangalia live score dk 90+ 8 nakuta ubao unasoma 1-1, kwenye mkeka naona tik 1-0 sijui var imefanya yake!!?
At least nimepata hela ya supuView attachment 3142913
Kinachouma sana mkuu ni team moja ndio inaangusha behewa la vichwa 30, daaah sio poa ila huyu jamaa atajaa kwenye mfumo tuHauko peke yako mkuu...
Mimi pia napoli amenibonda vibaya vibaya kwenye mikeka ya kimkakati haswaa...
Tuendelee kupambana.
Wakati unasema haya Brentford anakuchekaa ahahahhWacha niwape option hii; first ten minutes draw . Dk zako kumi tu za mwanzo unabana pumbu [emoji23] wacheze draw. NB: atakuja mtu atasema dk ya kwanza tu chumaaa[emoji23] , ndo hivyo hakuna option isiyochana ni kujaribu tu . Jana na Leo nmekula Kwa hyo option,mfano gemu ya liver , city na arsenal Jana nmekula afu Zina odds nzuri . Pia hii option nzuri sana Kwa ligi zile ngumu kutoa magoli mfano Italy Spain france
Awe anatoa hints asitupie tu WON humuwe noma. unamla Mhindi kwa option ya correct score.