Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu nataka nitie laki yangu hapo naomba ushauri
 

Attachments

  • Screenshot_20241103_114334_SportyBet.jpg
    166.6 KB · Views: 5
Kaka odds 7 unaweka 100 unatafuta hela ya kujiunga sms au?

Hahah natania mkuu😃👋
Huoni imeandikwa example bet, au hujui maana ya example bet ( manake mfano wa bet ) apo ame bookings code BDO hajastake
 
Live weka GG inatoa uhakika
Unaendeleaje huko unadhani kanji bwege eeh.
Kweli mkuu hapo nimezingua ila si unajua wakamalia kwa kujambishana.

Tatzo aliongea kwa uhakika sana na yeye.
 

Attachments

  • Screenshot_20241103_151704_1xBet.jpg
    23.6 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…