Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

SIMBA vs KMC

League ya Bongo,siku Moja kabla ODDS inakuwa nzuri ila ikifika siku ya pili inashuka mpaka unaipotezea kuibeti

Nimeiacha

Nasubiria Young Africans wakiiweka tu fastaaaa hapo hapo
Mi huwa napenda 1hlf X ya kutokufungana ,,, maana kila timu inacheza kwa tahadhari ila 2hlf huwa ni kisanga,,,,

Sema hivi vitimu dizaini ya kmc huwa wanafungwa magoli ya kingese sana
 
m5mbwj.jpg

2 ODDS ON PARIPESA ⚽

Booking Code: 6ZT9E

Betia PariPesa.

Jisajili PariPesa 👇 https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000
 
Options za betting zote ngumu ila angalau kidogo option ya kona hii haina presha sana.
Mkuu hii options nayo ya moto ,yale mashindano ya UEFA national league yalitopita hizo week 3 nyuma, kuna siku nimempa Over 7.5 netherland vs germany kama sijakosea ,wale wapuuz hadi dk ya 60s wametoa kona 7 ikabaki hivo hivo hadi dk 90 nikaliwa 28k kwa hii gemu tu
 
😀
 

Attachments

  • 9EABEC44-5EC7-41A8-96E2-AF165723DB56.png
    9EABEC44-5EC7-41A8-96E2-AF165723DB56.png
    1.4 MB · Views: 7
  • 51F91C03-219A-4438-8405-A867A3ED6C26.png
    51F91C03-219A-4438-8405-A867A3ED6C26.png
    1.4 MB · Views: 8
1xbet
BA2GF

Probability 99.9%

Stake what you can afford to lose 🙏
 

Attachments

  • 65D28AD9-2EEB-405B-A58D-4A7A931045AF.png
    65D28AD9-2EEB-405B-A58D-4A7A931045AF.png
    190 KB · Views: 7
Ukitaka kujua options zote ni ngumu hebu weka stake angalau kuanzia 100k....... hadi own goal hautaiamini [emoji23][emoji23]
Kuna siku betwinner nimebetia franc kessie asifunge goal, aiseee si jamaa akapewa penalty uzuri ni kuwa alimiss[emoji3][emoji28][emoji28]

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom