blackice2100
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,218
- 2,920
Ila mzize nina mkosi naye sana aisee
Magoli yake ya jioni hayajawahi niacha salama dah
Magoli yake ya jioni hayajawahi niacha salama dah
🤣🤣🤣🤣Ila mzize nina mkosi naye sana aisee
Magoli yake ya jioni hayajawahi niacha salama dah
Elewa kuwa wakienda mapumziko na wakafanya sub,umelost maana inahesabika kuwa ni half ya kwanza,ila kila la heri.97.9%
Mkuu kumbuka kuwa kuna namna wanazi double hizo odds,mfano ukisuka mkeka wa odds 70 then ukaongeza timu moja yenye odds ata 1:50 utaona 0dds zako 70 zimepanda mpk 150 au ata 200.mkuu uliishia la nne C au?
odd 27 kwa laki moja unapata ten milion?
Kinachoongelewa ni hiyo mechi Moja ya yanga.Mkuu kumbuka kuwa kuna namna wanazi double hizo odds,mfano ukisuka mkeka wa odds 70 then ukaongeza timu moja yenye odds ata 1:50 utaona 0dds zako 70 zimepanda mpk 150 au ata 200.
MnaziangLizia wapi zile video? Kuna mtu anataka hapa.Acha niiungie bando tu la kuangalizia zile videos 400+ nimeumizwa sana na haya matokeo 😑😑
View attachment 3146384
MWAMBIE AJE NA ID YAKE NTAMTUMIAMnaziangLizia wapi zile video? Kuna mtu anataka hapa.
Nitumie mimi hapa nataka nioshe macho. Ninazo saba tu hapa zishanichosha.MWAMBIE AJE NA ID YAKE NTAMTUMIA