Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani kwema Mimi nataka kujua naipataje hii option kwenye sportybet
Maana nimeitafuta kwenye game mbalimbali lakini nimeikosa kabisa

1X2..10 minutes 1 up to 10 minutes
Hii option nayo ni ngumu hapo utashangaa kuna timu dakika ya kwanza itapigwa goli.
 
huyu haja-edit kweli?
maana unampaje RB Salz wakati kapoteza mechi zote zilizopita, na anacheza na fayernood timu ambayo imeshinda mechi ngumu kuliko hii?
Huyu feyenoord huyu kampiga benfica 4 akiwa home alafu anapigwa kwake na Salzburg
 
alafu eti unampa Salzburg ashinde (ambae hana point hata moja kwenye game 3 alizocheza!),

anyway, Feyenoord kanifanya kitu mbaya sana jana..... bado sijaelewa amefungwaje na ile timu
Mimi kachana yeye na bayern niliweka over 1.5 katoa goli moja tuu
 
-hcb8f6.jpg

Corner On PariPesa ⚽

Booking Code: 18MB3

Bet PariPesa

Jisajili PariPesa Hapa 👇 https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya Asilimia 200.
 
Leo najiunga na Paripesa kupitia hii code yako mkuu... Je hawazingui?? Mana mpaka sasa helabet wamepita na 20K yangu na hawataki kuirudisha
Jiunge mkuu, Deposit iko Poa tu mkuu. Nimedeposit muda si mrefu
 
Back
Top Bottom