Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna sehemu nachukua odds 100 mpaka 200 kila siku na inachana timu moja au mbili kati ya timu kumi.
Hivi natatuaje hili gundu wakuu, au nikaoge baharini nisafishe nyota

Je ! ukiigawa mikeka hiyo mara 2.
Odds zitakuwa juu ya 50+ kila mmoja na pia ukagawa 10k mara 2. Ukastake 5k.

Hebu tupe Link na sisi tujaribu
 
LEONBET hawa naulizia vipi hawa hawasumbui ku kutoa pesa uki win nataka nijilipua huko ,kwaanae tumia mda mrefu atupe mrejesho
wameanza na usenge na wenyewe kama wa kina paripesa

nimedeposit toka jana hadi leo hii hela haijaingia kwenye akaunti

jana na leo nimefanya mawasiliano nao na vielelezo vyote vya malipo niliwapa lkn bado naambiwa niendelee kusubiri changamoto inashughulikiwa

immagine toka jana mchana
 
Kuna sehemu nachukua odds 100 mpaka 200 kila siku na inachana timu moja au mbili kati ya timu kumi.
Hivi natatuaje hili gundu wakuu, au nikaoge baharini nisafishe nyota
Gawa mikeka mitatu weka nyumba, mke na watoto. Manake hapo itatiki miwili.
 
Mkuu uzuri ni kwamba hiyo mikeka unayosema huwa inachana huwa inapostiwa kabla. Hata mimi huwa Napost Booking Code na ikichana huwezi kuta nimesema boom, ila ikiboom nasema boom kwa sababu najua siwezi kuedit Mkeka ambao Niliupost hadharani. Siwezi kuedit kwa sababu kuna watu wengi walifuata. Mkuu kuhusu tatizo la ku withdraw mimi sikumbani nalo kwa sababu mimi natumia crypto Kudeposit na kuwithdraw pesa. Kwa hiyo kama unataka kuondokana na adha ya ku withdraw nashauri uwe unatumia crypto.
Ukiwa muongo muongo jitahidi uwe na kumbukumbu
Naweza ku quote comments zako zote ulizowajibu wakamalia waliokwama Paripesa ukiwaaminisha kwamba “mbona mimi nimetoa au kuweka kwa voda tigo airtel leo bila shida yoyote” leo unajifanya unatumia crypto!!!

Tatizo lako sio predictions unazoweka hapa, won au lost ndio betting yenyewe

Wewe hau edit mikeka kama wanaijeria wanaoweka odd 5000 na eti zina won karibu kila siku na wakati huo wimbo wao mkuu ni kutangaza promo code ambazo ndio kipato chao na sio edit au demo acc..... hizo ni kutamanisha watu

Wewe unatumia demo acc kutamanisha watu wadeposit parefu wa stake kama wewe ili upate gawio nono wakati huo wakamalia wanaishia kupoteza hela zao hata waki win mikeka yao hawawezi kutoa hela

Watu wote wanaojifanya wanagawa predictions za free mwisho wa yote huwa wanalenga commission ya PROMO CODE tu👇👇👇
 
Attachments

  • CBCA9A5E-41AC-4D8E-84BD-8A48E7DEB8B3.jpeg
    CBCA9A5E-41AC-4D8E-84BD-8A48E7DEB8B3.jpeg
    139.7 KB · Views: 34
Kuna sehemu nachukua odds 100 mpaka 200 kila siku na inachana timu moja au mbili kati ya timu kumi.
Hivi natatuaje hili gundu wakuu, au nikaoge baharini nisafishe nyota
Flex game 1 weka mzigo ukimtumia sportbeti, ila usije kuwa unatuokota tushajua
 
Kwani mkuu nimekwambia nauza mkeka ili uje nikuokote? Mimi nimeomba tu ushauri, huwa nachukua gemu kumi naweka over 2.5 na zinaleta odds 100 mpaka 200, inachana gemu moja au mbili.
Sasa hapo ninekuokota vipi?
Na hizi gemu karibia zote huwa hazina option ya over 1.5, zinaanzia na 2.5.
Sasa sijui wapi nimesema nataka nikuokote
 
msibishane sana jaman kama vipi kwa usalama wa wakamalia wote wa umu jf mikeka ipostiwe bila izo promo code 🙂🙂 mfano kama una mkeka we andika tu jina la kampun, code na idad ya odds
Mfano

C453GT -200 odds
SportyBet
 
Kwani mkuu nimekwambia nauza mkeka ili uje nikuokote? Mimi nimeomba tu ushauri, huwa nachukua gemu kumi naweka over 2.5 na zinaleta odds 100 mpaka 200, inachana gemu moja au mbili.
Sasa hapo ninekuokota vipi?
Na hizi gemu karibia zote huwa hazina option ya over 1.5, zinaanzia na 2.5.
Sasa sijui wapi nimesema nataka nikuokote
Hapana kaka amejaribu tu kutolea mfano maana pia umu ndani kuna madalali hajamaanisha moja kwa moja
 
Mkuu uzuri ni kwamba hiyo mikeka unayosema huwa inachana huwa inapostiwa kabla. Hata mimi huwa Napost Booking Code na ikichana huwezi kuta nimesema boom, ila ikiboom nasema boom kwa sababu najua siwezi kuedit Mkeka ambao Niliupost hadharani. Siwezi kuedit kwa sababu kuna watu wengi walifuata. Mkuu kuhusu tatizo la ku withdraw mimi sikumbani nalo kwa sababu mimi natumia crypto Kudeposit na kuwithdraw pesa. Kwa hiyo kama unataka kuondokana na adha ya ku withdraw nashauri uwe unatumia crypto.
Wewe jamaa kwanini sinmwelewa kwani ukiweka games hapa au code pekee bila hizo promo nini shida?, promocode zinakusaidia nini kama ni real mkamalia, sababu ya wewe kufosi paripesa kila unapopost code ni nini? Huwezi fanya hivyo in reality kama hunufaiki na kwakuwa unanufaika unawashawishi watu wabeti kwa style Yako kwenye hiyo kampuni.

Mimi sinaga mambo mengi niliweka code humu huwezi jua hata nani kaifata na ikiboom hata Huwa sikumbushi yeyote.

Unaona tu mtu anasema bro hii ikiboom unatulia.

Weka code na jina la kampuni ambapo itakuwa rahisi kila mmoja kuikopi na kwenda kutazamia huko kwenye company kisha ataweka kwenye kampuni aitakayo

Ukiendelea hivyo wewe hufai
 
Acha kujishitukia fata ushauri hapo nimekupa kama si muuza code, any problem so far?
Kwani mkuu nimekwambia nauza mkeka ili uje nikuokote? Mimi nimeomba tu ushauri, huwa nachukua gemu kumi naweka over 2.5 na zinaleta odds 100 mpaka 200, inachana gemu moja au mbili.
Sasa hapo ninekuokota vipi?
Na hizi gemu karibia zote huwa hazina option ya over 1.5, zinaanzia na 2.5.
Sasa sijui wapi nimesema nataka nikuokote
 
Mwisho kabisa, sisi kama Watanzania tusapotiane. Mtu huyohuyo anayeniponda mimi Kuweka Promo Code hapa, ni huyohuyo anaenda kujiunga kwa kutumia Promo Code Ya Juju punter au Mayor. Tusapotiane tufike level za Wanigeria. Wenzetu wamefika level mtu akistake milion 5 watu hawashangai. Kwanini sisi tunashangaa na kuita ni demo account. Mbona huwa hamuendi kuwaambia Wanigeria wanatumia demo account?. Tujivunie vya kwetu.
Ayaa acha kutufanya sisi MABOYA kwa kigezo cha uzalendo hapa

Yaani utuingize choo cha kike Paripesa tudhulumiwe hela zetu kisa kukusapoti wewe kama wanaija wanavyo sapotiana?
Yaani wewe upate hela kwa mimi kudeposit halafu mimi nianze kuhangaisha na Paripesa kutoa na kuweka?
———————————————————

Jamani huu mjadala uishe sasa
You have been warned...... atakayeamua kujiunga ni maamuzi yake, na msirudi hapa mnalialia hela hazijafika.

Sasa turudi kwenye lengo kuu la uzi huu....... CODE

CODE zianze kushuka sasa leo games kibao
 
Ukiwa muongo muongo jitahidi uwe na kumbukumbu
Naweza ku quote comments zako zote ulizowajibu wakamalia waliokwama Paripesa ukiwaaminisha kwamba “mbona mimi nimetoa au kuweka kwa voda tigo airtel leo bila shida yoyote” leo unajifanya unatumia crypto!!!

Tatizo lako sio predictions unazoweka hapa, won au lost ndio betting yenyewe

Wewe hau edit mikeka kama wanaijeria wanaoweka odd 5000 na eti zina won karibu kila siku na wakati huo wimbo wao mkuu ni kutangaza promo code ambazo ndio kipato chao na sio edit au demo acc..... hizo ni kutamanisha watu

Wewe unatumia demo acc kutamanisha watu wadeposit parefu wa stake kama wewe ili upate gawio nono wakati huo wakamalia wanaishia kupoteza hela zao hata waki win mikeka yao hawawezi kutoa hela

Watu wote wanaojifanya wanagawa predictions za free mwisho wa yote huwa wanalenga commission ya PROMO CODE tu👇👇👇
Umemaliza kwa wasiojua, wengine kitamboo tunajua huo ujasiriamali kupitia vichwa vya watu🤣🤣🤣
Demo account ni strategy ya kuvuta wateja wapya na wageni wa technology
 
Wewe jamaa kwanini sinmwelewa kwani ukiweka games hapa au code pekee bila hizo promo nini shida?, promocode zinakusaidia nini kama ni real mkamalia, sababu ya wewe kufosi paripesa kila unapopost code ni nini? Huwezi fanya hivyo in reality kama hunufaiki na kwakuwa unanufaika unawashawishi watu wabeti kwa style Yako kwenye hiyo kampuni.

Mimi sinaga mambo mengi niliweka code humu huwezi jua hata nani kaifata na ikiboom hata Huwa sikumbushi yeyote.

Unaona tu mtu anasema bro hii ikiboom unatulia.

Weka code na jina la kampuni ambapo itakuwa rahisi kila mmoja kuikopi na kwenda kutazamia huko kwenye company kisha ataweka kwenye kampuni aitakayo

Ukiendelea hivyo wewe hufai
Mkuu nitaendelea na Code mbona naweka. Ubaya ni Kuweka Promo Code tu? Mimi huwa naweka Booking Code nataja kampuni na Promo Code naweka na link naweka.
 
Ukiwa muongo muongo jitahidi uwe na kumbukumbu
Naweza ku quote comments zako zote ulizowajibu wakamalia waliokwama Paripesa ukiwaaminisha kwamba “mbona mimi nimetoa au kuweka kwa voda tigo airtel leo bila shida yoyote” leo unajifanya unatumia crypto!!!

Tatizo lako sio predictions unazoweka hapa, won au lost ndio betting yenyewe

Wewe hau edit mikeka kama wanaijeria wanaoweka odd 5000 na eti zina won karibu kila siku na wakati huo wimbo wao mkuu ni kutangaza promo code ambazo ndio kipato chao na sio edit au demo acc..... hizo ni kutamanisha watu

Wewe unatumia demo acc kutamanisha watu wadeposit parefu wa stake kama wewe ili upate gawio nono wakati huo wakamalia wanaishia kupoteza hela zao hata waki win mikeka yao hawawezi kutoa hela

Watu wote wanaojifanya wanagawa predictions za free mwisho wa yote huwa wanalenga commission ya PROMO CODE tu👇👇👇
Mkuu au mtu unakuwa limited Kudeposit na kuwithdraw Kupitia mitandao ya simu tu? Sasa Kwani Kudeposit Kwa njia ya Crypto si unaweza kutumia Fiat au P2P ambayo utatumia local method Kudeposit? Kama ulikuwa hujui basi jua kuwa unaweza pia Kudeposit crypto Kupitia bank ya Nmb, Crdb Na mitandao yote ya simu na ukawithdraw pia. Au unadhani kuna njia nyingine ngeni ya kudeposit na kuwithdraw zaidi ya kutumia mitandao ya simu na bank kwa hapa Tanzania? Lazima mojawapo utaweka.
 
mkuu umesema unaweza deposit kwa crypto kupitia mitandao ya simu sasa mm sijafahamu kvp hebu tueleze vizuri in details yaani tukishaingia menu ya m pesa tuendelee vp kwenye crypto hadi kudeposit au withdrawal toka makampuni ya kubet je,inataka uwe na account ya crypto au ni vp..ebu fafanua hii
 
Back
Top Bottom