copyright
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 631
- 650
Hawa wanaonekana hawanantofauti na Helabet mana wao pia wamepita na 20K yangu na emails hawajibu. Mi nipenii contacts za bodi ya michezo ya kubahatisha niwashtakiPARIPESA ni matapeli msiseme sijawaambia.
Hiyo 150,000/= kama mnavyoona nimewithdraw toka tarehe 7 leo ni siku ya sita hawajaiapprove na email wanajibu kwa kujisikia wao.
Sasa sijui ukishinda mamilioni sidhani kams wataruhusu.
View attachment 3150923