Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mm wameniekea kustake over or under ni 2800 haijalish odds ni nying au chache kwnzia 1xbet nmekimbilia paripesa nmekutana hayo hayoPia hao jamaa wana Weka limit kulingana na aina ya Odds unazokuwa umechagua. Kama utachagua odds za Chini sana wanakulimit ila ukiweka odds kubwa hawaweki limit
Hata leo hiimm wameniekea kustake over or under ni 2800 haijalish odds ni nying au chache kwnzia 1xbet nmekimbilia paripesa nmekutana hayo hayo
Kumbe daah asaa mbona huwa hawajisemiKuwa makini hata siku moja usiweke pesa nyingi ukafata mikeka ya Hawa agents wa kampuni za kirusi. Huwa wanatumia demo account, ndio maana unaona wanaweka tu mikeka ya laki 5, laki 8, milioni n.k
Ukiifata tu na kuweka kama wanavyoweka inakula kwako, wewe unatumia real account unatumia pesa kweli, wao hizo sio pesa za kweli ni account wanafunguliwa za mfano ili kutangaza kampuni.
Huyo jamaa mwwnyewe nlimstukia unamwambia mzeee tupe hints za mkeka wako uliopost paripesa anakuja na sababu kibao mara oooh hizo options hazipo kampun zngne wakat unaona kabisa kampa Barca WinMkuu nilikua sijalijua hili
Huyu huyu mbiga akanijaza king nikafungua acc Paripesa nikadeposit 70k
Ilichukua wiki 3 hela kufika kwenye acc
Nikacheza ikafika 370k, nilipotaka kutoa nikakuta njia ya Halotel niliyowekea hela haipo na masharti yao eti ni lazima utoe kwa njia uliyowekea tu
Nimevurugana nao mwezi mzima sijapata hata sh1
Nikataka kuwashitaki bodi ya kamari nikaambiwa hao ni wahuni hawana kibali na bodi haiwezi ku control kila kitu kwenye internet
Nikashauriwa kuwa makini na matapeli
sio leo hii tu hata sas ivHata leo hii
Mkuu mrusi kwenye live bet kampuni zote kalimit 28,700sio leo hii tu hata sas iv
Hiyo unayosema voda na tigo wana matatizo ndio matatizo yenyewe hayo mkuuMi mbona nadeposit na zinaingua tatizo la wengi hamfanyi update, pili mtandao kama voda na tigo Huwa na shida kule kuliko Airtel, vile uzuri wa 1xbet hatakama unatumiaga voda au mtandao mwingine unaweza tumia mtandao mwingine kuweka pesa mfano natumia voda lakini naweka kwa Airtel na kinyume chake.
Acha tu mkuu nilipigwa na kitu kizito bora ligi imesimama nipumzike yanga na barca wamejua kuniwezaUnaruka Mkojo unakanyaga mimavi...
Kuna betting site yenye 1st quarter option mbali na za mrusi hapa ndo sababu ya mimi kutumia hiyo site kama ingepatikana alternative tz ningetulia hata sportbeti wanabana sana option japo Wana odd nzuri na kuweka au kutoa uhakika.Hiyo unayosema voda na tigo wana matatizo ndio matatizo yenyewe hayo mkuu
Hakuna mahali wametangaza kwamba hiyo mitandao inashida na majority ya watu wanatumia zaidi Voda na Tigo
So 90% ya wanao deposit wanaishi kupoteza hela zao kwa kutumia voda tigo na halo
Lingine hizo njia kila mara huwa zinatolewa na kurudishwa kwasababu zinatumika kikanjanja tu na kampuni haina vibali vya kufanya kazi hapa bongo
1xbet ni bora kutumia Wakala ingawaje akikudhulumu inakua changamoto
Kwa mrusi aliyesajiliwa nenda na Betwinner mpaka sasa wako vizuriKuna betting site yenye 1st quarter option mbali na za mrusi hapa ndo sababu ya mimi kutumia hiyo site kama ingepatikana alternative tz ningetulia hata sportbeti wanabana sana option japo Wana odd nzuri na kuweka au kutoa uhakika.
Sporting basketball inabanwa sana huwezi fanikiwa huko mara nyingi wao ni over under tu, score zinawekwa juu sana
Jana nimeisntall kudepota pesa haiendi voda!Kwa mrusi aliyesajiliwa nenda na Betwinner mpaka sasa wako vizuri
Helabet wamesajiliwa bongo ila wababishaji sana utadhani akina Paripesa 888starz na 22bet
Kiukweli kabisa linapokuja swala la ubora wa app, wingi wa machaguo na games nyingi basi Mrusi hana mpinzani
Kwa options za quarters kwenye basketball hebu wajaribu LEONBET TZ
Wanajitahidi
Mnang'ang'ania 1Xbet ya nini wakati ipo melbet na BETWINNER yote ni Yale yaleMi mbona nadeposit na zinaingua tatizo la wengi hamfanyi update, pili mtandao kama voda na tigo Huwa na shida kule kuliko Airtel, vile uzuri wa 1xbet hatakama unatumiaga voda au mtandao mwingine unaweza tumia mtandao mwingine kuweka pesa mfano natumia voda lakini naweka kwa Airtel na kinyume chake.
Betwinner nimejaribu haiganyi kazi kwenye kuweka hela Toka Jana saa5 mpaka Leo hakuna pesa inaenda Salio lipo 123k lakini hakuna kinachoenda Wala kuambiwa kiwango hakitoshi kifupi Hana message hakuna pesa iliyokatwaMnang'ang'ania 1Xbet ya nini wakati ipo melbet na BETWINNER yote ni Yale yale
Mel bet natumia mm Iko poa sana hajawai zngua sema Makato ya kudeposit ni msalaBetwinner nimejaribu haiganyi kazi kwenye kuweka hela Toka Jana saa5 mpaka Leo hakuna pesa inaenda Salio lipo 123k lakini hakuna kinachoenda Wala kuambiwa kiwango hakitoshi kifupi Hana message hakuna pesa iliyokatwa
Betwinner ndio wahuni kabisa,hakuna kitu hapo,bora 1xbet kwa wakalaMnang'ang'ania 1Xbet ya nini wakati ipo melbet na BETWINNER yote ni Yale yale
Aya ndugu makamaliaBetwinner ndio wahuni kabisa,hakuna kitu hapo,bora 1xbet kwa wakala