Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sportybet odds 11000 hapa mtu akifanya positive edit za kutosha lazima atapata pesa tu

D54DFE
 

Attachments

  • Screenshot_20241111-093410_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241111-093410_SportyBet.jpg
    101.4 KB · Views: 1
Wakuu,najua hakuna betting yenye uhakika. Naomba wazoefu waniambie ipi rahisi kumkwangua Kanji kati ya Aviator na kubetia timu
 
Wakuu,najua hakuna betting yenye uhakika. Naomba wazoefu waniambie ipi rahisi kumkwangua Kanji kati ya Aviator na kubetia timu
Kubetia timu, huko kwenye kindege Hatari sana ni dk Moja tu unaskia shwaaaa, Bora kwenye kubetia timu Kuna cash out
 
Mkuu nilikua sijalijua hili
Huyu huyu mbiga akanijaza king nikafungua acc Paripesa nikadeposit 70k
Ilichukua wiki 3 hela kufika kwenye acc
Nikacheza ikafika 370k, nilipotaka kutoa nikakuta njia ya Halotel niliyowekea hela haipo na masharti yao eti ni lazima utoe kwa njia uliyowekea tu

Nimevurugana nao mwezi mzima sijapata hata sh1
Nikataka kuwashitaki bodi ya kamari nikaambiwa hao ni wahuni hawana kibali na bodi haiwezi ku control kila kitu kwenye internet
Nikashauriwa kuwa makini na matapeli
Kuwa makini hata siku moja usiweke pesa nyingi ukafata mikeka ya Hawa agents wa kampuni za kirusi. Huwa wanatumia demo account, ndio maana unaona wanaweka tu mikeka ya laki 5, laki 8, milioni n.k

Ukiifata tu na kuweka kama wanavyoweka inakula kwako, wewe unatumia real account unatumia pesa kweli, wao hizo sio pesa za kweli ni account wanafunguliwa za mfano ili kutangaza kampuni.
 
Naona watu mnahangaika sana na izo Kampuni za Kubeti as if hamuioni au hamuijui SPORTY BET, Mtalizwa mpaka mnyooke.!!
Kampuni za kirusi ni nzuri zina markets nzuri sana kuliko SPORTYBET, na limit ya ushindi ni kubwa mno(over mil 500) , sportbet mwisho ni mil 90

Tatizo lao hizo za kirusi ni hazipo vizuri Sana na mifumo yetu ya miamala ndio maana kuna shida kubwa kwenye kuweka na kutoa. Pia tatizo lao ni hilo la demo account wanazowapa agents wao kuaminisha watu uongo
 
Mkuu tutaingizwa sana mkenge na huyo wakala wa Paripesa anaye wahadaa hapa jukwaani kwa Demo acc anastake malaki kwa mamilioni
Kitu pekee cha kweli anacho post ni mikeka yake
Lakini anatumia DEMO ACC

Paripesa ni MAJAMBAZI
Hawana kibali cha Bodi kufanya kazi Tz, hawana ofisi na njia wanazotumia kuweka hela ni za ujanja ndio maana kutoa na kuweka ni Mtihani kweli kweli

Kuna wahuni wachache kama huyo anayepiga promo humu ndani wanapata gawio kwa kila mteja atakeye jiunga na kupigwa hela zake
Hao una chat nao ni wahuni tu labda utakuta anakujibu yupo zake kitambaa cheupe analewa tu na kuvuta shisha kwa hela za wakamalia wao hangaika labda watabahatisha
Nawakumbushaga sana watu usiweke mkeka kwa kufuata hawa agents wa kampuni za kirusi sababu wanatumia demo account. Utaona kaweka milion mtu nae anafata bila kujua mwenzie ile sio pesa ya kweli ni mfano tu
 
Back
Top Bottom