Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Fuata live namna hii

Unishukuru au kunilaumu baadae 😂
 
Attachments

  • 76BD78D4-858C-4EA2-ABAE-73889816E89A.png
    76BD78D4-858C-4EA2-ABAE-73889816E89A.png
    151.3 KB · Views: 6
currently game za man u imekua ngumu sana kutoa kona over 8.5,
.......

anyway, spurs na utd wamemaliza shughuli,
ngoja nisubiri hii single niliompa chelsea mazima.........

leo siku imekua mbaya sana
 
currently game za man u imekua ngumu sana kutoa kona over 8.5,
.......

anyway, spurs na utd wamemaliza shughuli,
ngoja nisubiri hii single niliompa chelsea mazima.........

leo siku imekua mbaya sana
Mkuu nimempa man u vs mwenzie kona 9 kashjndwa toa nimemfata spurs mazima wamefungwa

Yan hao wawili tu wamenichania mkeka
 
Back
Top Bottom