Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu nilideposit kwa kubofya kwenye app yao nikafanya malipo
Tukasumbuana nao wiki nzima ndio hela ikaingia kwenye acc

Baada ya kula sasa nataka kutoa hela
Ndio hapo nakutana na REJECTED BY OPERATOR

Yaani mimi nianze kuwapigia Halopesa kwamba kwanini Paripesa wana reject kunilipa?
We unaona hii imekaa sawa mkuu?
Ok hapo nimekuelewa..

Mwanzo nilijua imegoma kwenye kuweka...

Kama ulitoa na wakakujibu hivyo basi una haki ya kulalamika maana ni wazi pesa iko kwao...

Hapo cha kufanya usichoke kuwasumbua, utaipata pesa yako...
 
hivi hizi odds za chelsea mnaziogopa?

mpe chelsea mazima, odds 3 safi kabisa!
kama unaogopa mpe DC odds 1.6 safi kabisa.....

nb
cheza single kwa win, kwa dc mpe na man u win utakua na odds 2
 
hivi hizi odds za chelsea mnaziogopa?

mpe chelsea mazima, odds 3 safi kabisa!
kama unaogopa mpe DC odds 1.6 safi kabisa.....

nb
cheza single kwa win, kwa dc mpe na man u win utakua na odds 2
Nimemfuata Aseno mazima

Instinct zangu zinaniaminisha game kama hizi Arsenal huwa wanafanyaga maajabu
 
Mkuu nilikua sijalijua hili
Huyu huyu mbiga akanijaza king nikafungua acc Paripesa nikadeposit 70k
Ilichukua wiki 3 hela kufika kwenye acc
Nikacheza ikafika 370k, nilipotaka kutoa nikakuta njia ya Halotel niliyowekea hela haipo na masharti yao eti ni lazima utoe kwa njia uliyowekea tu

Nimevurugana nao mwezi mzima sijapata hata sh1
Nikataka kuwashitaki bodi ya kamari nikaambiwa hao ni wahuni hawana kibali na bodi haiwezi ku control kila kitu kwenye internet
Nikashauriwa kuwmm

Mkuu tutaingizwa sana mkenge na huyo wakala wa Paripesa anaye wahadaa hapa jukwaani kwa Demo acc anastake malaki kwa mamilioni
Kitu pekee cha kweli anacho post ni mikeka yake
Lakini anatumia DEMO ACC

Paripesa ni MAJAMBAZI
Hawana kibali cha Bodi kufanya kazi Tz, hawana ofisi na njia wanazotumia kuweka hela ni za ujanja ndio maana kutoa na kuweka ni Mtihani kweli kweli

Kuna wahuni wachache kama huyo anayepiga promo humu ndani wanapata gawio kwa kila mteja atakeye jiunga na kupigwa hela zake
Hao una chat nao ni wahuni tu labda utakuta anakujibu yupo zake kitambaa cheupe analewa tu na kuvuta shisha kwa hela za wakamalia wao hangaika labda watabahatisha
mm toka 888starz waniibie dola 105 cjawah kuwa na imani na app hi mpy mpy tena hao ni majambaz kwa mgongo wa kamari
 
Refa aliyechezesha mechi ya Gotzepe v Konyaspor hajataka kumaliza mechi mpaka alipohakikisha 2+ zimetoka dakika ya 8 na 10. Nilishakata tamaa kabisa huu mkeka.
Waliniletea bei uchwara ya kuuza nikasema potelea mbali siuzi chini ya stake maana hiii ni vita.
Screenshot_20241110-154702_Chrome~2.jpg
 
Wewe mweyewe hapo ulipo ukikopa hulipi

Unahamisha madeni tu

Kampuni zote za Sim zinakopesha,sasa kwanini usikope ktk line Yako,jibu ni kwamba huko kwenyewe unadaiwa.🤣🤣🤣

Mdau don't reach to that moment kwa ajili ya KAMARI,Mechi zipo,fanyakazi ingiza pesa then tumia utakavyo ila sio ukope kisa leo unaona utajiri nje nje 🤣🤣🤣🤣NDIO Kamari ilivyo
watu mnabet na kuchamba pia😂😂😂
 
toka juzi cjabet 1xbet kalimit kustake 2800 kwa option zangu za under nikajiunga paripesa nimekuta ni kile kile sion ht raha ya kubet live
 
toka juzi cjabet 1xbet kalimit kustake 2800 kwa option zangu za under nikajiunga paripesa nimekuta ni kile kile sion ht raha ya kubet live
Mkuu yaani we acha tu
Nilidhani nateseka peke yangu kwenye live

Hii ni kwa kampuni zote zinazotumia template ya 1xbet

Sasa wamepiga pini 28,700 tu 😭
 
Mkuu yaani we acha tu
Nilidhani nateseka peke yangu kwenye live

Hii ni kwa kampuni zote zinazotumia template ya 1xbet

Sasa wamepiga pini 28,700 tu

Mkuu yaani we acha tu
Nilidhani nateseka peke yangu kwenye live

Hii ni kwa kampuni zote zinazotumia template ya 1xbet

Sasa wamepiga pini 28,700 tu 😭
cjui wanashida gan imebid tu nitulie nisibet kwamaan pre game hazitabirik kabisa saiv mpira ushapoteza ladha sikuiz ni biashara na sio burudah km zaman
 
Back
Top Bottom