Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi ninachojua ukiweka pesa au ukitoa, angalia kwenye akaunti yako sehemu ya profile(kwenye kale kakichwa)

Hapo utakutana na jumbe zote, tangu umeanza kufanya transactions paripesa...

Hivyo kama pesa yako imekwama kwasababu yoyote, utakuta maelezo ya sababu ya kukwama huko.
Rejected by operator

Hiyo sababu ndio ita solve tatizo langu mkuu?
 
1yqd62.jpg

8 Odds On PariPesa ⚽

Booking Code: EM1QJ

Jisajili PariPesa Ili Kubet. Jisajili Hapa 👉 https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya Asilimia 200.
 
Hapo mkuu na wasiwasi na mtandao wa Halotel utakuwa ulikuwa unasumbua siku hiyo. Maana kuna muda Halotel ilikuwa inasumbua hata mtu akitaka kujiunga alikuwa hapokei Code Ya uthibitisho. Pia hela huwa haipotei lazima watakurudishia ingawa kwa kuchelewa. Pole sana mkuu
Natumia Airtel mkuu. Hata kama mtandao ulikuwa unasumbua siku hiyo ndo ichukue siku 17 leo?
 
Tangu nianze kutumia paripesa haijawahi kuzingua popote, iwe kutoa au kuweka...

Nyinyi mnaolalamika inakuwaje mazee?

Mimi naweka pesa kwa voda inaingia dakika hiyo hiyo, na ikigoma natumiwa sms mda huo huo?

Haya malalamiko kuhusu paripesa yana ukweli kiasi gani?

Yaani uweke pesa kwenye akaunti, isifike na wasikutumie ujumbe wowote?

Au mimi natumia paripesa gani!
Mkuu mimi ni mhanga wa Paripesa nimewithdraw mpaka Leo pesa haijafika kwenye laini yangu ya Airtel na kwenye akaunti ya Paripesa imeshatoka. Nidanganye kwa faida ya nani vile!
 
U
Unamfahamu operator wako?

Hiyo pesa mdai operator wako, haijafika paripesa.
Mkuu are serious?

Nimedeposit kupitia Paripesa halafu nianze kumtafuta nani?

Mi sija deposit kutafutana na operator, nimedeposit ilini BET na nikishinda nilipwe hela yangu...... PERIOD

Huu ujinga huukuti kwenye makampuni makini
Kama kuna shinda wanakwambia Kuna changamoto na wanafix wenyewe
 
U

Mkuu are serious?

Nimedeposit kupitia Paripesa halafu nianze kumtafuta nani?

Mi sija deposit kutafutana na operator, nimedeposit ilini BET na nikishinda nilipwe hela yangu...... PERIOD

Huu ujinga huukuti kwenye makampuni makini
Kama kuna shinda wanakwambia Kuna changamoto na wanafix wenyewe
Sahihi mkuu
 
Hivi wakuu kati ya

Chelsea win or draw 1.6
Na
Arsenal Win 2.4

Ipi ina MATUMAINI ya kutoa kwa 100k?
 
Back
Top Bottom