Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Helabet na 1xbet kwasasa wamesajilowa bongo na wanalipa kodi na wana ofisi kwasasa.

Tumia hizo kampuni kila kitu zinafanana na Paripesa.

Aisee tangu jana nimeweka pesa kwenye account ya 1XBET mpk sasa hiyo balance haijasoma ila nilijaribu nyingine ikasoma.
Lakini Tsh 7,500/= kwenye line imetoka na selcom nina msg yao ila ac ya bet empty haijafika
 
Attachments

  • Screenshot_20241110-083746.png
    Screenshot_20241110-083746.png
    114.8 KB · Views: 3
Niliweka 1XBET kwa mobile payment na ikakubali nikaona haitoshi nikajaribu withdraw nako ikakubali.
Sasa sii nikapigwa ile balance niliyobakiza.........nikalipa tena Tsh 7,500/= katika line ya Tigo na tigopesa ikafanya mwamala vema nao selcom wakanipa msg pesa imeenda ila mpk sasa 1XBET ile Tsh 7,500/= wameweka kwapani.
Nikajaribu tena kuangusha pesa ndogo zaidi ya hiyo na ikakubali.
Nikaweka tena Tsh 9,000/= kama nitaishtua nako silifika sawa ila ile elfu saba na mia tano wasukume mpk sasa imekataa katu katu.
 
Mkuu waambie wanilipe pesa yangu Paripesa
Mkuu kwani hela kwenye akaunti yako haipo? Login kwa kutumia ID uliyotumia ku deposit hela yako kisha angalia kama salio lipo. Mkuu ni wengi tu wana Deposit na ku withdraw PariPesa bila shida. Labda hiyo siku uliyo withdraw mtandao ulikuwa unasumbua. Ila zingatia kwenye kampuni yoyote ile huwezi ku withdraw pesa kwa njia nje na ile uliyotumia kujisajili.
 
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)

2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...

I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...

II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....

H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...

A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Man city shenzi
 
Mkuu waambie wanilipe pesa yangu Paripesa

Paripesa nimeweka pesa dakika 1 tu account ikasoma balance niliyoweka tayari .
Ni labda wewe ulivyosajili kuna kitu haujaweka sawa ila pia nina imani Paripesa hawapotezi pesa.........maana kuna siku ya nyuma kidogo niliweka pesa na haikufika kwa wakati illa walikuja kuniwekea tu✅💯💯
 
Mkuu kwani hela kwenye akaunti yako haipo? Login kwa kutumia ID uliyotumia ku deposit hela yako kisha angalia kama salio lipo. Mkuu ni wengi tu wana Deposit na ku withdraw PariPesa bila shida. Labda hiyo siku uliyo withdraw mtandao ulikuwa unasumbua. Ila zingatia kwenye kampuni yoyote ile huwezi ku withdraw pesa kwa njia nje na ile uliyotumia kujisajili.
Mkuu naingia mara kwa mara kwenye akaunti yangu hakuna pesa. Siku ya 17 leo kila baada ya masaa 2 nachukungulia hakuna kitu. Ukiwasiliana na huduma kwa wateja unaambiwa wanawasiliana na mfumo wa malipo mpaka Leo hola.
 
Hapo mkuu na wasiwasi na mtandao wa Halotel utakuwa ulikuwa unasumbua siku hiyo. Maana kuna muda Halotel ilikuwa inasumbua hata mtu akitaka kujiunga alikuwa hapokei Code Ya uthibitisho. Pia hela huwa haipotei lazima watakurudishia ingawa kwa kuchelewa. Pole sana mkuu
 
Mkubali mkatae mechi nyingi tunazibetia rakni znakua zmeuzwa Hilo nmelitambua jana Jana mechi ya Leverkusen ilikua imeuzwa

mpaka sasa hakuna video ya mechi hiyo iliopostiwa na bundersliga ila mechi zingne zote za jana kapost
 
Hizo story tu mkuu.
 
Tangu nianze kutumia paripesa haijawahi kuzingua popote, iwe kutoa au kuweka...

Nyinyi mnaolalamika inakuwaje mazee?

Mimi naweka pesa kwa voda inaingia dakika hiyo hiyo, na ikigoma natumiwa sms mda huo huo?

Haya malalamiko kuhusu paripesa yana ukweli kiasi gani?

Yaani uweke pesa kwenye akaunti, isifike na wasikutumie ujumbe wowote?

Au mimi natumia paripesa gani!
 
Mimi ninachojua ukiweka pesa au ukitoa, angalia kwenye akaunti yako sehemu ya profile(kwenye kale kakichwa)

Hapo utakutana na jumbe zote, tangu umeanza kufanya transactions paripesa...

Hivyo kama pesa yako imekwama kwasababu yoyote, utakuta maelezo ya sababu ya kukwama huko.
 
Helabet na 1xbet kwasasa wamesajilowa bongo na wanalipa kodi na wana ofisi kwasasa.

Tumia hizo kampuni kila kitu zinafanana na Paripesa.
Helabet ni kweli wamesajiliwa bongo lakini wapo kwenye hatua za mwisho kufilisika kwa ubovu wao wa huduma za kutoa na kuweka
1xbet haijasajiliwa lakini ukitumia njia isiyo rasmi ya wakala hawasubui

Kampuni ya mrusi inayojitahidi kwa sasa bongo ni Betwinner
 
We
Mkubali mkatae mechi nyingi tunazibetia rakni znakua zmeuzwa Hilo nmelitambua jana Jana mechi ya Leverkusen ilikua imeuzwa

mpaka sasa hakuna video ya mechi hiyo iliopostiwa na bundersliga ila mechi zingne zote za jana kapost
We si unataka timu iwe inashinda milele 😂 , we ulitaka matokeo yaje kama ulivoeka kwny mkeka wako , tulia acha makasiriko ushaliwa tulia , kama unaamini mechi zinauzwa Kaa mbali na betting utaliwa mpaka chupi🙌
 
Hizo story tu mkuu.
Wakamaria wengine wakichaniwa mkeka wanaanza kubwabwaja mechi zinauzwa , nonsense haiingii akilini kabisa , wanataka timu ishinde mechi zake zote bila kupoteza au ata kutoa sare 😂, kwanza Jana Leverkusen hakupoteza mchezo , ametoa sare , ye akaleta mitamaa akampa direct win mtu yupo ugenini
 
Back
Top Bottom