Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo ni siku ya mhindi kulia na kusaga meno

-barca
-celtic
-feyenoord
-fiorentina
-man u
-atalanta
-rangers
-shakter donesk
-spurs

Mm nadhan angalau tuweke mikeka hata mitatu.
1. Direct win changanya na DC
2. Over 1.5 changanya na Under 4.5
3. Cards over 2.5 na Corners over 6.5

Pia odds zisiwe mlima sana na stake isiwe ndogo sana.

Hizo options Kanji hachomoi , tutampuna tu
 
For sure.

But All in all , winning any betting slip is uncertainty .
Even if you reduced the odds and bet with 2 odds,. Its not guarantee 100% winning.

As said above, most bettor put small amount (what they afford to lose) and add more risk .
Even though the chances of winning is small.
It’s better that way.
100%.
 
U

Mkuu are serious?

Nimedeposit kupitia Paripesa halafu nianze kumtafuta nani?

Mi sija deposit kutafutana na operator, nimedeposit ilini BET na nikishinda nilipwe hela yangu...... PERIOD

Huu ujinga huukuti kwenye makampuni makini
Kama kuna shinda wanakwambia Kuna changamoto na wanafix wenyewe
Line uliyotumia kuweka pesa ndio wanajua pesa yako iliko

Halafu Hujadepost kupitia paripesa bali kwenda paripesa

Hiyo line umetumia kuweka ndio operator, wapigie watakwambia pesa ilipo...
 
Nahitaji mkopo wa 50k wakamaria wenzangu.
Wewe mweyewe hapo ulipo ukikopa hulipi

Unahamisha madeni tu

Kampuni zote za Sim zinakopesha,sasa kwanini usikope ktk line Yako,jibu ni kwamba huko kwenyewe unadaiwa.🤣🤣🤣

Mdau don't reach to that moment kwa ajili ya KAMARI,Mechi zipo,fanyakazi ingiza pesa then tumia utakavyo ila sio ukope kisa leo unaona utajiri nje nje 🤣🤣🤣🤣NDIO Kamari ilivyo
 
Line uliyotumia kuweka pesa ndio wanajua pesa yako iliko

Halafu Hujadepost kupitia paripesa bali kwenda paripesa

Hiyo line umetumia kuweka ndio operator, wapigie watakwambia pesa ilipo...
Mkuu nilideposit kwa kubofya kwenye app yao nikafanya malipo
Tukasumbuana nao wiki nzima ndio hela ikaingia kwenye acc

Baada ya kula sasa nataka kutoa hela
Ndio hapo nakutana na REJECTED BY OPERATOR

Yaani mimi nianze kuwapigia Halopesa kwamba kwanini Paripesa wana reject kunilipa?
We unaona hii imekaa sawa mkuu?
 
Wewe mweyewe hapo ulipo ukikopa hulipi

Unahamisha madeni tu

Kampuni zote za Sim zinakopesha,sasa kwanini usikope ktk line Yako,jibu ni kwamba huko kwenyewe unadaiwa.🤣🤣🤣

Mdau don't reach to that moment kwa ajili ya KAMARI,Mechi zipo,fanyakazi ingiza pesa then tumia utakavyo ila sio ukope kisa leo unaona utajiri nje nje 🤣🤣🤣🤣NDIO Kamari ilivyo
Kaka naona umeamua kunisemea.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ila haipo kama unavyohisi.
 
Back
Top Bottom