Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Mkuu 1xbet ukitumia wakala wa kuaminika haina shida yoyoteMnang'ang'ania 1Xbet ya nini wakati ipo melbet na BETWINNER yote ni Yale yale
Tatizo lipo pale unapo deposit hizi kampuni za Mrusi kupitia online mobile payments
Mkuu nadhani vipigo vya kwenye live bet ndio vimemfanya alimit hiyo stakeww ndio umenijb vyema sasa,hv hizo limit stake atakuj kutoaga au ndio imeisha hiyo
Kuna wamba wanajua kweli kuvizia live bet anatia mzigo wa maana kwa odd 1.2 - 1.5
Mrusi akaona isiwe kesi dawa ni kulimit stake tu
Kwa stake ya 28,700 ukiweka odd 1.5 itakua unacheza tu kwa mtu aliyezoe kuweka 500k hadi 5m
Sidhani kama wataitoa labda watapandisha kidogo tu stake