Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pia hao jamaa wana Weka limit kulingana na aina ya Odds unazokuwa umechagua. Kama utachagua odds za Chini sana wanakulimit ila ukiweka odds kubwa hawaweki limit
mm wameniekea kustake over or under ni 2800 haijalish odds ni nying au chache kwnzia 1xbet nmekimbilia paripesa nmekutana hayo hayo
 
53rlpf.jpg

WAKE UP TO BOOM ON PARIPESA 🏀🏀

Code: A8374

PariPesa

Jisajili Hapa 👇 https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 200%.
 
Kuwa makini hata siku moja usiweke pesa nyingi ukafata mikeka ya Hawa agents wa kampuni za kirusi. Huwa wanatumia demo account, ndio maana unaona wanaweka tu mikeka ya laki 5, laki 8, milioni n.k

Ukiifata tu na kuweka kama wanavyoweka inakula kwako, wewe unatumia real account unatumia pesa kweli, wao hizo sio pesa za kweli ni account wanafunguliwa za mfano ili kutangaza kampuni.
Kumbe daah asaa mbona huwa hawajisemi
 
Mkuu nilikua sijalijua hili
Huyu huyu mbiga akanijaza king nikafungua acc Paripesa nikadeposit 70k
Ilichukua wiki 3 hela kufika kwenye acc
Nikacheza ikafika 370k, nilipotaka kutoa nikakuta njia ya Halotel niliyowekea hela haipo na masharti yao eti ni lazima utoe kwa njia uliyowekea tu

Nimevurugana nao mwezi mzima sijapata hata sh1
Nikataka kuwashitaki bodi ya kamari nikaambiwa hao ni wahuni hawana kibali na bodi haiwezi ku control kila kitu kwenye internet
Nikashauriwa kuwa makini na matapeli
Huyo jamaa mwwnyewe nlimstukia unamwambia mzeee tupe hints za mkeka wako uliopost paripesa anakuja na sababu kibao mara oooh hizo options hazipo kampun zngne wakat unaona kabisa kampa Barca Win
 
Mi mbona nadeposit na zinaingua tatizo la wengi hamfanyi update, pili mtandao kama voda na tigo Huwa na shida kule kuliko Airtel, vile uzuri wa 1xbet hatakama unatumiaga voda au mtandao mwingine unaweza tumia mtandao mwingine kuweka pesa mfano natumia voda lakini naweka kwa Airtel na kinyume chake.
Hiyo unayosema voda na tigo wana matatizo ndio matatizo yenyewe hayo mkuu

Hakuna mahali wametangaza kwamba hiyo mitandao inashida na majority ya watu wanatumia zaidi Voda na Tigo
So 90% ya wanao deposit wanaishi kupoteza hela zao kwa kutumia voda tigo na halo

Lingine hizo njia kila mara huwa zinatolewa na kurudishwa kwasababu zinatumika kikanjanja tu na kampuni haina vibali vya kufanya kazi hapa bongo

1xbet ni bora kutumia Wakala ingawaje akikudhulumu inakua changamoto
 
Kuna betting site yenye 1st quarter option mbali na za mrusi hapa ndo sababu ya mimi kutumia hiyo site kama ingepatikana alternative tz ningetulia hata sportbeti wanabana sana option japo Wana odd nzuri na kuweka au kutoa uhakika.

Sporting basketball inabanwa sana huwezi fanikiwa huko mara nyingi wao ni over under tu, score zinawekwa juu sana
 
Kwa mrusi aliyesajiliwa nenda na Betwinner mpaka sasa wako vizuri
Helabet wamesajiliwa bongo ila wababishaji sana utadhani akina Paripesa 888starz na 22bet

Kiukweli kabisa linapokuja swala la ubora wa app, wingi wa machaguo na games nyingi basi Mrusi hana mpinzani

Kwa options za quarters kwenye basketball hebu wajaribu LEONBET TZ
Wanajitahidi
 
Jana nimeisntall kudepota pesa haiendi voda!
 
Mi mbona nadeposit na zinaingua tatizo la wengi hamfanyi update, pili mtandao kama voda na tigo Huwa na shida kule kuliko Airtel, vile uzuri wa 1xbet hatakama unatumiaga voda au mtandao mwingine unaweza tumia mtandao mwingine kuweka pesa mfano natumia voda lakini naweka kwa Airtel na kinyume chake.
Mnang'ang'ania 1Xbet ya nini wakati ipo melbet na BETWINNER yote ni Yale yale
 
Betwinner nimejaribu haiganyi kazi kwenye kuweka hela Toka Jana saa5 mpaka Leo hakuna pesa inaenda Salio lipo 123k lakini hakuna kinachoenda Wala kuambiwa kiwango hakitoshi kifupi Hana message hakuna pesa iliyokatwa
 
Mel bet natumia mm Iko poa sana hajawai zngua sema Makato ya kudeposit ni msala
 
Back
Top Bottom