BENEDICT BONIFACE
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 284
- 473
Umemaliza kwa wasiojua, wengine kitamboo tunajua huo ujasiriamali kupitia vichwa vya watu🤣🤣🤣Ukiwa muongo muongo jitahidi uwe na kumbukumbu
Naweza ku quote comments zako zote ulizowajibu wakamalia waliokwama Paripesa ukiwaaminisha kwamba “mbona mimi nimetoa au kuweka kwa voda tigo airtel leo bila shida yoyote” leo unajifanya unatumia crypto!!!
Tatizo lako sio predictions unazoweka hapa, won au lost ndio betting yenyewe
Wewe hau edit mikeka kama wanaijeria wanaoweka odd 5000 na eti zina won karibu kila siku na wakati huo wimbo wao mkuu ni kutangaza promo code ambazo ndio kipato chao na sio edit au demo acc..... hizo ni kutamanisha watu
Wewe unatumia demo acc kutamanisha watu wadeposit parefu wa stake kama wewe ili upate gawio nono wakati huo wakamalia wanaishia kupoteza hela zao hata waki win mikeka yao hawawezi kutoa hela
Watu wote wanaojifanya wanagawa predictions za free mwisho wa yote huwa wanalenga commission ya PROMO CODE tu👇👇👇
Mkuu nitaendelea na Code mbona naweka. Ubaya ni Kuweka Promo Code tu? Mimi huwa naweka Booking Code nataja kampuni na Promo Code naweka na link naweka.Wewe jamaa kwanini sinmwelewa kwani ukiweka games hapa au code pekee bila hizo promo nini shida?, promocode zinakusaidia nini kama ni real mkamalia, sababu ya wewe kufosi paripesa kila unapopost code ni nini? Huwezi fanya hivyo in reality kama hunufaiki na kwakuwa unanufaika unawashawishi watu wabeti kwa style Yako kwenye hiyo kampuni.
Mimi sinaga mambo mengi niliweka code humu huwezi jua hata nani kaifata na ikiboom hata Huwa sikumbushi yeyote.
Unaona tu mtu anasema bro hii ikiboom unatulia.
Weka code na jina la kampuni ambapo itakuwa rahisi kila mmoja kuikopi na kwenda kutazamia huko kwenye company kisha ataweka kwenye kampuni aitakayo
Ukiendelea hivyo wewe hufai
Mkuu au mtu unakuwa limited Kudeposit na kuwithdraw Kupitia mitandao ya simu tu? Sasa Kwani Kudeposit Kwa njia ya Crypto si unaweza kutumia Fiat au P2P ambayo utatumia local method Kudeposit? Kama ulikuwa hujui basi jua kuwa unaweza pia Kudeposit crypto Kupitia bank ya Nmb, Crdb Na mitandao yote ya simu na ukawithdraw pia. Au unadhani kuna njia nyingine ngeni ya kudeposit na kuwithdraw zaidi ya kutumia mitandao ya simu na bank kwa hapa Tanzania? Lazima mojawapo utaweka.Ukiwa muongo muongo jitahidi uwe na kumbukumbu
Naweza ku quote comments zako zote ulizowajibu wakamalia waliokwama Paripesa ukiwaaminisha kwamba “mbona mimi nimetoa au kuweka kwa voda tigo airtel leo bila shida yoyote” leo unajifanya unatumia crypto!!!
Tatizo lako sio predictions unazoweka hapa, won au lost ndio betting yenyewe
Wewe hau edit mikeka kama wanaijeria wanaoweka odd 5000 na eti zina won karibu kila siku na wakati huo wimbo wao mkuu ni kutangaza promo code ambazo ndio kipato chao na sio edit au demo acc..... hizo ni kutamanisha watu
Wewe unatumia demo acc kutamanisha watu wadeposit parefu wa stake kama wewe ili upate gawio nono wakati huo wakamalia wanaishia kupoteza hela zao hata waki win mikeka yao hawawezi kutoa hela
Watu wote wanaojifanya wanagawa predictions za free mwisho wa yote huwa wanalenga commission ya PROMO CODE tu👇👇👇
mkuu umesema unaweza deposit kwa crypto kupitia mitandao ya simu sasa mm sijafahamu kvp hebu tueleze vizuri in details yaani tukishaingia menu ya m pesa tuendelee vp kwenye crypto hadi kudeposit au withdrawal toka makampuni ya kubet je,inataka uwe na account ya crypto au ni vp..ebu fafanua hiiMkuu au mtu unakuwa limited Kudeposit na kuwithdraw Kupitia mitandao ya simu tu? Sasa Kwani Kudeposit Kwa njia ya Crypto si unaweza kutumia Fiat au P2P ambayo utatumia local method Kudeposit? Kama ulikuwa hujui basi jua kuwa unaweza pia Kudeposit crypto Kupitia bank ya Nmb, Crdb Na mitandao yote ya simu na ukawithdraw pia. Au unadhani kuna njia nyingine ngeni ya kudeposit na kuwithdraw zaidi ya kutumia mitandao ya simu na bank kwa hapa Tanzania? Lazima mojawapo utaweka.
Huyu jamaa nishamwambia kabla awe anapost hints .MfanoWewe jamaa kwanini sinmwelewa kwani ukiweka games hapa au code pekee bila hizo promo nini shida?, promocode zinakusaidia nini kama ni real mkamalia, sababu ya wewe kufosi paripesa kila unapopost code ni nini? Huwezi fanya hivyo in reality kama hunufaiki na kwakuwa unanufaika unawashawishi watu wabeti kwa style Yako kwenye hiyo kampuni.
Mimi sinaga mambo mengi niliweka code humu huwezi jua hata nani kaifata na ikiboom hata Huwa sikumbushi yeyote.
Unaona tu mtu anasema bro hii ikiboom unatulia.
Weka code na jina la kampuni ambapo itakuwa rahisi kila mmoja kuikopi na kwenda kutazamia huko kwenye company kisha ataweka kwenye kampuni aitakayo
Ukiendelea hivyo wewe hufai
Weka team au booking code na jina la kampuni acha hayo mawenge mengine, ona Pdidy anavyotupiaMkuu nitaendelea na Code mbona naweka. Ubaya ni Kuweka Promo Code tu? Mimi huwa naweka Booking Code nataja kampuni na Promo Code naweka na link naweka.
Mkuu au mtu unakuwa limited Kudeposit na kuwithdraw Kupitia mitandao ya simu tu? Sasa Kwani Kudeposit Kwa njia ya Crypto si unaweza kutumia Fiat au P2P ambayo utatumia local method Kudeposit? Kama ulikuwa hujui basi jua kuwa unaweza pia Kudeposit crypto Kupitia bank ya Nmb, Crdb Na mitandao yote ya simu na ukawithdraw pia. Au unadhani kuna njia nyingine ngeni ya kudeposit na kuwithdraw zaidi ya kutumia mitandao ya simu na bank kwa hapa Tanzania? Lazima mojawapo utaweka.
Namuomba jamaa aoneshe transaction history yake hapa tuone.Ndio maana nakwambia wewe akili zako mbovu
Nahakika 100% hata wewe kama ungekua unatumia real acc na sio demo acc usinge weza kutumia crypto kudeposit kwasababu ya ugumu na mzunguko wake(prove me wrong kwaku screenshot transactions history yako hapa tuone hiyo miamala uliofanya kwa crypto)
Deposit zenyewe za 5k ikizidi sana 20k halafua uanze kukimbizana na mzunguko wa crypto?
Mobile payment is the easiest, just few clicks umedeposit au umetoa hela yako
Ndio maana hizo kampuni za kihuni wanaweka mobile payment kuhadaa watu waweke ili wapoteze hela zao na nyie wazee wa PROMO CODE hamsemi ukweli mnasisitiza hali ni shwari tu
Ningekuona wa maana kama ungesisitiza kwenye tangazo lako kwamba Tumia crypto, mobile payment zinasumbua
Ila unajua ukifanya hivyo huwezi kupata mtu maana hakuna mtu anaweza kuhangaika na crypto wakati kuna njia rahisi zaidi
Acheni utapeli.View attachment 3152113
MKEKA WA SIKU PARIPESA
Code: 8Q8JL
PariPesa
Jisajili PariPesa Hapa👉 https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya Asilimia 200.
Ni wapi huko na sisi tukachukue?Kuna sehemu nachukua odds 100 mpaka 200 kila siku na inachana timu moja au mbili kati ya timu kumi.
Hivi natatuaje hili gundu wakuu, au nikaoge baharini nisafishe nyota