Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakubwa game ya taifa stars kesho dhidi ya Guinea naona ina odds tamu na zinapanda tu , sahv ni 3.25... nataka nitie 100k, Je mlioitazama hiyo Guinea wapo vzr? sijabahatika kuwaona mechi ya juzi dhidi ya DR Congo.
Mechi haitakua rahisi guinea nao wanataka kufuzu na wana lile jamaa linafunga hatari so changa karata zako vizuri kabla hujatia mzigo
 

NBA 🏀𝐎𝐃𝐃𝐒 𝐎𝐍 𝐏𝐀𝐑𝐈𝐏𝐄𝐒𝐀⚽

Code: 6NBNN

Bet PariPesa

Jisajili Hapa👉 cutt.ly/hwKXFbXz

cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: TIPS2424

Promo Code Weka Neno TIPS2424 Upate Bonus Ya Asilimia 200.
 
Leo Kanji ataumia wallah.
Timu kubwa ziko na vibonde.

Ila usitake matamaa, odds zisizidi 5.

NB :
Game ya Cameroon vs Zimbabwe
Na Egypt vs Botswana nadhan sio za Direct win.
 
Leo Kanji ataumia wallah.
Timu kubwa ziko na vibonde.

Ila usitake matamaa, odds zisizidi 5.

NB :
Game ya Cameroon vs Zimbabwe
Na Egypt vs Botswana nadhan sio za Direct win.
Hao wameshafuzu wanaweza hata kupigwa kama Kina Nigeria Jana
 
Mechi Za Afcon nyingi leo ni kukamilisha ratiba timu zinazohitaji matokeo ni mechi 3 tu
MAURITANIA VS BOTSWANA
MOZAMBIQUE VS GUINEA BISSAU
TANZANIA VS GUINEA

KUWA MAKINI
 
Mechi Za Afcon nyingi leo ni kukamilisha ratiba timu zinazohitaji matokeo ni mechi 3 tu
MAURITANIA VS BOTSWANA
MOZAMBIQUE VS GUINEA BISSAU
TANZANIA VS GUINEA

KUWA MAKINI
Ni Mauritania vs cape verde
Egypt vs Botswana hapa ni egypt pekee aliyefuzu hao wote watatu yoyote anafuzu huku Rwanda akihitaji kupata sare tu mbele ua mafarao
 
Wakuu kwa mitazamo yenu
German
Nerdherland
Sweden
Wanaweza kupata Ushindi kipindi Cha kwanza Kuna oods nono hapo

Au
Geman na Nerdheland wakiwa ugenini wanaweza kupata goli mbili kila mmoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…