Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa mbuzi nimewapa watoe goli moja ila mpaka sasa naona wanaruka ruka tu.
Milan - Juventiu
 
Galatasaray makuma asee Yani wanarukaruka tu wanakosa clear chance kmmk😠 dah imeniuma Yani mechi nmeichek wanacheza usenge asee , Bora mech iñachana mkeka naona kabisa walijitoa ila bahati haikuwa upande wao ila gala wasenge wanacheza kama hawataki dah
 
Mkuu bado ulimuamini city mimi sijamgusa yeye wala arsenal wala Dortmund
Dortmund ana alama 19 Bundesliga ktk michezo 11 yaani ameshinda mechi 6 kafungwa 4 kasare 1. Mechi zote 6 ameshinda Signal Iduna Park nyumbani kwake. Dortmund ni mbovu akiwa ugenini sawa sawa Marseille kule Ufaransa ila yeye mbovu nyumbani kwake lakini akiwa ugenini hata PSG hamfungi.
 
Mbona wameshinda? @1.30 odds. Au ulitaka over 2.5? Gala sio mzuri sana away.
 
wamedroo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…