Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaCity, city au ni mbeya city?
Daa mkuu kwa sasa city ukimuona popote muue,sasa hvi hamna timu paleHatimaye city anaondoka na mkeka wangu wa toka juzi. Timu imeoza ile
De brunne ataingia sec half pengine wanaweza wakajitafuta.Hatimaye city anaondoka na mkeka wangu wa toka juzi. Timu imeoza ile
Mkuu bado ulimuamini city mimi sijamgusa yeye wala arsenal wala DortmundHatimaye city anaondoka na mkeka wangu wa toka juzi. Timu imeoza ile
Dortmund ana alama 19 Bundesliga ktk michezo 11 yaani ameshinda mechi 6 kafungwa 4 kasare 1. Mechi zote 6 ameshinda Signal Iduna Park nyumbani kwake. Dortmund ni mbovu akiwa ugenini sawa sawa Marseille kule Ufaransa ila yeye mbovu nyumbani kwake lakini akiwa ugenini hata PSG hamfungi.Mkuu bado ulimuamini city mimi sijamgusa yeye wala arsenal wala Dortmund
Mbona wameshinda? @1.30 odds. Au ulitaka over 2.5? Gala sio mzuri sana away.Galatasaray makuma asee Yani wanarukaruka tu wanakosa clear chance kmmk😠 dah imeniuma Yani mechi nmeichek wanacheza usenge asee , Bora mech iñachana mkeka naona kabisa walijitoa ila bahati haikuwa upande wao ila gala wasenge wanacheza kama hawataki dah
wamedroo?Galatasaray makuma asee Yani wanarukaruka tu wanakosa clear chance kmmk[emoji34] dah imeniuma Yani mechi nmeichek wanacheza usenge asee , Bora mech iñachana mkeka naona kabisa walijitoa ila bahati haikuwa upande wao ila gala wasenge wanacheza kama hawataki dah
Niliweka ikiwa 1:43,jamaa itakuwa aliweka over 1.5Mbona wameshinda? @1.30 odds.
Wameshinda chuma moja,mwamba juu hapo itakuwa aliweka goli 2wamedroo?